zeebaba Senior Member Apr 17, 2018 180 211 Jun 3, 2018 #181 Mungu ni mwema sana, naamini hii kesi imekula pesa mingi sana maana kuchukua wanasheria wazuri, huu ni ushindi kwa wana JF wote
Mungu ni mwema sana, naamini hii kesi imekula pesa mingi sana maana kuchukua wanasheria wazuri, huu ni ushindi kwa wana JF wote
Allen Kilewella JF-Expert Member Sep 30, 2011 18,307 33,925 Jun 3, 2018 #182 zeebaba said: Mungu ni mwema sana, naamini hii kesi imekula pesa mingi sana maana kuchukua wanasheria wazuri, huu ni ushindi kwa wana JF wote Click to expand... Huu ni ushaidi kwamba uhuru wa wananchi kujieleza siku zote ni chukizo kwa watawala wenye nia ya kuficha uovu wao!
zeebaba said: Mungu ni mwema sana, naamini hii kesi imekula pesa mingi sana maana kuchukua wanasheria wazuri, huu ni ushindi kwa wana JF wote Click to expand... Huu ni ushaidi kwamba uhuru wa wananchi kujieleza siku zote ni chukizo kwa watawala wenye nia ya kuficha uovu wao!
LEGE JF-Expert Member Oct 14, 2011 5,123 9,168 Jun 3, 2018 #184 MANI said: Mungu ni mwema Click to expand... mkuu hembu fanya uniombee na mm aisee maana na mm namtanange hapo hapo kisutu ..hii mitandao kwa kweli itatuua sana.
MANI said: Mungu ni mwema Click to expand... mkuu hembu fanya uniombee na mm aisee maana na mm namtanange hapo hapo kisutu ..hii mitandao kwa kweli itatuua sana.
tpaul JF-Expert Member Feb 3, 2008 21,852 18,261 Jun 8, 2018 #185 Mishetani na mifisi imeumbuka hiyoooooooo!!!!!!!!!!
Yoda JF-Expert Member Jul 22, 2018 37,634 46,277 Nov 3, 2021 #187 JF wanastahili heshima zote katika kipengele cha kulinda wateja wao. Cognitivist said: Asante sana mahakama, jf is there to stay big up mac and colleagues Click to expand...
JF wanastahili heshima zote katika kipengele cha kulinda wateja wao. Cognitivist said: Asante sana mahakama, jf is there to stay big up mac and colleagues Click to expand...