mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,041
- 35,929
Unajua maana ya precedent,?sio president,!!!precedent tamka presedentiSuppose speaker akufuata katiba kwenye kujiudhuru. What outcome is Mbatia seeking iwapo Ndugai hana interest ya kuwa speaker tena?
Anataka Ndugai aandike barua kwa taratibu sahihi? and then what?
The only logical explanation of going through all this trouble iwapo Ndugai angekuwa interested.
Otherwise maamuzi yoyote ya mahakama speaker atakuwa Dr Tulia mwisho wa siku I do not see CCM kurudia mchakato wa kupendekeza jina la speaker, hakuna mtu atafukuzwa kazi, hakuna sheria itabadilishwa, and so forth it changes nothing in the end. Zaidi ya speaker kujiudhuru kama wanavyotaka.
Now that is a waste of court time and resources kusikiliza case kama hizo.