Kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA,kusikilizwa Leo Arusha

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Ile kesi ya kuandamana bila kibali,inayowakabili viongozi wa Kitaifa pamoja na wabunge na wanachama,itaanza kusikilizwa leo
Tayari washtakiwa wote wameshafika,na viwanja vya mahakama vimefurika wananchi
 
Back
Top Bottom