Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,305
- 12,969
Baada ya jaribio la kuipindua serikali ya awamu ya kwanza ya Nyerere miaka ya themanini na wahusika wa mapinduzi kupelekwa mahakamani kisha kuhukumiwa kuliandikwa kitabu maalumu kwaajili ya kilichoendelea mahakamani wakati wa kesi kiliitwa KESI YA UHAINI. Humo ndimo wengi tulijua kilichptokea kutokana na mahojiano ya mashahidi na mawakili.
Ili kuweka kumbu kumbu vizuri nashauri pia hii kesi inayomkabili Mbowe ikiisha kuandikwe kitabu cha matukio yote yaliyotokea mahakamani kwa maaana ya mwenendo mzima wa kesi na mahojiano ya mawakili na mashahidi.V KESI YA KWANZA YA UGAIDI TANZANIA