Kufanya mambo ya ajabu ni wanawake na wanaume au kina nani hasa? maana wote wanapewa bum sawa. Kuna aliyesema JK wamekausha hazina, me nakataa kwa sababu wale wote waliosubmit all requirements on time wamepata bum mtu anaambiwa asign hasign akiambiwa jaza form hajazi kwa wakati. Hivyo pamoja na matatizo ya kiufundi ya bodi ya mikopo wanafunzi wanajitakia matatizo. wanafunzi wanapewa 5000 kwa sasa lakini wataka 10,000/- na wanachohitaji ni kuishinikiza serikali iliangalie hilo before bonge la bajeti.
Mimi napenda kuwashauri wanafunzi kuwa makini na matumizi ya bum maana hata wakipewa 30,000/= per day alafu plan less hazitatosha. Serikali naishauri ifute kabisa bodi ya mikopo kwa sasa maana sisi tuligoma wakati ilipokuwa inajadiliwa bungeni ianzishwe tukaishia kula mabom na marungu, waachane na swala la idadi bila tija. watu wachache walipiwe na serikali waliofaulu vizuri na wengine walipiwe na wazazi wao.
Watu wengi wanawalipia watoto wao wa darasa la kwanza more than 1.6mln a year kwanini ashindwe kulipia 1.5 chuo kikuu?? The issue is sera na siyo maswala ya vyama vya siasa.
mkuu acha hizo! Wa MUHAS postgraduate wametekeleza taratibu zote sasa tangu Novemba wanapigwa danadana za UJE WIKI IJAYO! wamefika hadi wizarani majibu waliyopewa WE ACHA TU!!!
Tusiitetee serikali kwa hili kwani serikali ndio WAZEMBE!!!!!