Kesho tutoke kwa wingi sana!!

Nipo na Wanangu 17 na tunatoka wote, wewe je?

Naomba kesho tutoke kwa wingi sana, tutokeni kwa wingi sana ndugu zangu

Maandamano ni haki yetu kikatiba

Kama nilivyotoka tarehe 29 kesho nitatoka!!
Nyie mnaenda Un HQ,M/city au mnazi 1 sehemu ya makutano???
 
Kaeni majumbani ndugu zangu, serikali inawapigania sana ... leo tu mama ameonesha nia ya kusaini mikataba ya matrilioni ya uwekezaji na Marekani. Mnataka ni nini zaidi? Tuwe na subra --- mtaka yote kwa pupa hukosa yote ..
Acha ujinga mnadanganyika kijinga sana
 
Hatupoi, hatuboi, mpaka kieleweke..
Na huyo rais ajae nae akituletea usenge tunamuwashia moto, sisi sio kwamba tumeichoka sisiem, hapana tumechoka wanayotufanyia, yeyote atakae kaa pale juu lazima awe na tija kwa tanzania nzima
Kabisa
 
Mnalipwa buku 5 kuja kutuletea mkwara mbuzi shenz kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…