Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,170
- 4,582
ShwainiSiasa zinahitaji watu smart na wenye UPEO mkubwa Wa kuitazama TANZANIA baada ya miaka 50 mbele.
Huwa nikisoma hoja zako zimejaa utoto Sana
Ondoka Leo bwana, maana Leo umeifikia, kesho huna hakika nayo.Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.
Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.
Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Cc ErythrocyteKesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.
Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.
Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Shwaini
Tena hiyo leo iwe sasaOndoka Leo bwana, maana Leo umeifikia, kesho huna hakika nayo.
Bado hata yeboyebo za vyama watatengenezewaEbu jiulize swali tangu umeanza siasa umepata nini na nani anakujua je kuna Andiko gani umeandika Jamiiforum la kuisadia nchi?
Watu Kama nyie mnabdi kusuburi kupiga kura tu na kupewa tisheti na kofia.
ShwainiKwani ulipojiunga ulitutangazia?
Tutusa wahed 🐼
ShwainiZwazwa kwel 🤣uwepo isiwepo hamna hata anaeshtuka we pika kale
Huyu tapeli hana lolote ni UVCCMSiasa zinahitaji watu smart na wenye UPEO mkubwa Wa kuitazama TANZANIA baada ya miaka 50 mbele.
Huwa nikisoma hoja zako zimejaa utoto Sana
Pombe zinamsubuaHuyu tapeli hana lolote ni UVCCM
Mbaya zaidi ni mdadaPombe zinamsubua