The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,463
- 13,476
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana pale jion na tayali huyu manzi nikamuomba nitoke naye kanipa sababu lukuki nikajifanya understanding.Sasa waungwana ninahakika kwan nshachunga na muhudumu wa gesti ,je nikiwabamba nifanyaje ? inaniuma sana.