Kesho nafumania nimfanyaje mgoni?

The only:
Kwa taarifa yako siendi tena ile guest, nampeleka mpenzi wako kwingine tutazima tu simu, na kukuacha na maumivu wakati sisi tunabanjuka! We tafuta mwingine bana niachie huyu kasema umemshindwa huna nyimbo!!
Ahahahaah!!
 
Achana na huyo demu, tafuta wako umuoe ndio inawezekana kufanya hayo unayofikiria
 
achana nae huyo wewe Tafuta binti wa 18miaka tena chotara,vititi saa6 endelea na maisa!au uli invest sana roho inauma?
 
Ukishawakuta tu, unamuomba jamaa akunaniliu na wewe ili akili yako iwe na akili since iko masaburini. Mzinzi ukamfume mzinzi mwingne hali si mkeo? SEEMS UNA HAMU YA KUKUFA
 
We nenda, siku hiyo ndio utajua kama wewe ndio wa halali ama la, kama huyo jamaa si wa halali, akikuona yeye mwenyewe, jamaa atababaika, na pia kama we ndio wa halali, toa onyo kali kwa jamaa na huyo demu au kama vipi mteme demu, siku hizi watu ili kupunguza machungu wanamharibia mpenzi aliyemfumania kwa yule aliyemkuta naye halafu baada kama ya wiki na we unamtosa, ili akome, yaani unampa kibesi cha kutosha jamaa ili asimfuate tena, kwa mpenzi wako unajifanya kusawazisha baada ya masaa kadhaa, halafu baada ya wiki unampa mtoso wa kweli, lakini kama ni mara ya kwanza, hana tabia za ajabu, usimtose, msamehe, forgive and forget, ila tu atamke mwenyewe kwa mdomo wake kwamba anaomba msamaha, ili na wewe hasira moyoni itoke, uwe na amani.
 
Kijana una bahati sana, nusura uyaoge maneno ya kashda hapa nilipoona hilo jina la the only sikuwa nimelisoma vizuri nikadhani ni the one, nilifikiri ni yeye kaleta tena upuuzi wake hapa badala ya kusattle na mkewe.
 
muache aende then aktoka kwa mchz, mpige bomba heavy weight... dea after mbwagilie mbal... n hayo 2.
 
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana pale jion na tayali huyu manzi nikamuomba nitoke naye kanipa sababu lukuki nikajifanya understanding.Sasa waungwana ninahakika kwan nshachunga na muhudumu wa gesti ,je nikiwabamba nifanyaje ? inaniuma sana.

GESTI??! piga chabo babaa!huenda hasira zikapungua
 
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana pale jion na tayali huyu manzi nikamuomba nitoke naye kanipa sababu lukuki nikajifanya understanding.Sasa waungwana ninahakika kwan nshachunga na muhudumu wa gesti ,je nikiwabamba nifanyaje ? inaniuma sana.

Fumanizi au ugoni ni pale mwanaume anapomkuta mkewe akitafunwa na sio mpenzi ambaye hujamuoa!
 
huwez kwenda kufumania guest mtu msiye kuwa naye kwenye ndoa bora hata mngekuwa kwenye uchumba lakini kwakuwa hamko hata katika uchumba ni bora upotezee kama vp kakae sehemu ambayo itamwezesha akiwa anatoka guest akuone halafu uone reaction yake then piga chini usonge na maisha yako maana si msichana wa kuaminika. watch out unaweza kwenda kufamania ukaishia kupgwa kwani yule si mkeo na huna haki ya kufanya hivyo inawezekana huyo unaye mwita mgoni wako naye anadhani yuko peke yake demu anawachanganya.
 
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana pale jion na tayali huyu manzi nikamuomba nitoke naye kanipa sababu lukuki nikajifanya understanding.Sasa waungwana ninahakika kwan nshachunga na muhudumu wa gesti ,je nikiwabamba nifanyaje ? inaniuma sana.

Ukimkuta msalimie jamaa na umpongeze kwa kukubali kukutua mzigo.
 
Hivo hata kunawa havijui, hataki anataka kurumbembe lake

Kunawa tu? waaaala! Kwangu wala hainipi taabu kwa maana, hali ya hewa ikizidi kuwa mbaya nitabana pumzi na kuliendeleza!! sema tatizo kwa hivi vitoto ni kwamba hata kubana nyonga havijui! Manake cku hizi kisichana cha miaka 16 na mwanamke wa miaka 35 wala hawana tofauti; lakini ukitaka flavor heri uende kwa huyo mwenye miaka 35++ ambae anazo additional techniques, hususani zile kubana upaja hadi unajihisi upo na kanamwali, kumbe loh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom