Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 480
- 944
Sehemu iliyo vizuri kwa vipimo ni nyuma za kuandikisha kuwa unatoka Dar unaelekea Dar(gesti)
Sehemu iliyo vizuri kwa vipimo ni nyuma za kuandikisha kuwa unatoka Dar unaelekea Dar(gesti)
Ndo Mshahara wa uzinzi, nenda kathibitishe tu pay slip yako pale angaza au hospital yoyote iliyo karibu nawe
mkuu leo umeniache sina mbavu na hayo ndo mavuno ya uovu na huku ukijiita mimi mwislamu safi au mimi ni mkristo si bora usiwe na dini
Nimekaa kama mwaka na miezi kadhaa baada ya kugegeda binti mmoja mtaani hapa, tatizo la huyu binti ana kashfa ana ngoma ila nilipiga hvyo hivyo tena kavu kavu, nataka nikavunje ukimya kesho.
Sehemu gani ambayo ipo vizuri kwa vipimo?