Kesho naenda kupima UKIMWI

Kesho naenda kupima UKIMWI

hongera mkuu huo ndio uwe mwanzo wa mabadiliko ya maisha yako baada ya kupima tumia dakika moja kutafakari usalama wako kama hujafanya zinaa.
 
Bora hata wewe umekuja hapa tukupe ujasir na kukutoa wenge askuambie mtu siku ya kwanza kupima hiyo mambo daaaaaa nlienda hata breakfast sijapata ilikuwa zaid ya ugomvi yaani nlipoambiwa rudi baada ya miez mitatu nlihis nimezaliwa mara ya pili jikaze kajue ukweli kajue mstakabali wa maisha yako jiokoe muda ukiwa unafaa vunja ukimya
 
Unaenda kupima kitu kisichokuwepo?

Hao unaokwenda kupima kwao hawajawahi hata kumuona huyo unaekwenda kumtafuta kama unae....

Acha kupoteza muda....
mtumishi hivi ulisema juice ya limao ni nzuri sana!!
 
Mbona kipimo cha kawaida kama vipimo vingine? ukikutwa nao ufi leeooo wala keshoo...
 
Nenda department of weight and measures wana vipimo vizuri sana wale
 
sijawahi kuona sababu ya kupima UKIMWI. naomba mnisamehe katika haya masuala sinaga logic kabisa. nimepima mara moja tu na mara ya pili ntapima siku kabla ya kuoa. over!

yaani ulikanyaga nyaya za three phase peku peku..??? huko sio kuuza mechi tena bali ulilipua uwanja na mashabiki ..
 
kaka wamekudanganya tu, kama uligonga yule binti una ukimwi kaka
mkuu maneno yako yanachoma unamweka mtoa mada katika hali ngumu kwamba kusema ndo ana ukimwi....!!!

ukimwi upo tutumie condom wajameni....
 
mkuu maneno yako yanachoma unamweka mtoa mada katika hali ngumu kwamba kusema ndo ana ukimwi....!!!

ukimwi upo tutumie condom wajameni....

Ndio hivyo kaka mshkaji anaukimwi, ila Ukimwi ni ugonjwa wa kawaida tu wala asijali
 
Ndio hivyo kaka mshkaji anaukimwi, ila Ukimwi ni ugonjwa wa kawaida tu wala asijali
halafu wapimaji wana akili sana huyu jamaa angeambiwa leo leo kwamba ana ngoma angekosa mood ya kupiga kura kabisa na kutuweka wanamageuzi shakani kwa kukosa kura yake. ila sababu wamempa moyo aje baada ya miezi mitatu luckly kura yake tutaipata... ila tu asiogope japo ukimwi hauna tiba kwa sasa ila possibility ya kuendelea kuishi ipo...

tutumie condom, ukimwi upo, starehe ya dakika tano isije kufanya ndoto za kuona generation ndani ya viuno vyetu ikifutika.
 
Back
Top Bottom