Kesho naenda kupima UKIMWI

Kesho naenda kupima UKIMWI

[MENTION=Eiyer;13889489]Unaenda kupima kitu kisichokuwepo?

Hao unaokwenda kupima kwao hawajawahi hata kumuona huyo unaekwenda kumtafuta kama unae....

Acha kupoteza muda....[/MENTION]

sijakuelewa mkuu,ufafanuzi tafadhali
 
Those people who go for HIV testing every 3 months don't worry, ONE DAY you will find what you are looking for!
 
Ukiona nyuma ya karatasi umeandikiwa rudi baada ya miezi 3 jua upo safi ila ukiona wamekupa karatasi ya majibu bila tarehe ya kurudi jua umeumia
Gud luck

Siku hizi vipimo vime advance unarudia kupima baada ya mwezi mmoja tu
 
mie pia kuna mtu nmemkwaa mungu anisamehe;sijui nn la kufanya kupima kwa sasa naogopa; nashindwa kuwa generative ktk kazi zangu! Full mawazo
 
Nimekaa kama mwaka na miezi kadhaa baada ya kugegeda binti mmoja mtaani hapa, tatizo la huyu binti ana kashfa ana ngoma ila nilipiga hvyo hivyo tena kavu kavu, nataka nikavunje ukimya kesho.

Sehemu gani ambayo ipo vizuri kwa vipimo?
kapime miezi mi3 baada ya kusex nae ,ukipima chini ya hapo wanaweza kukwambia negative kumbe unao..but kama ulimuandaa vzr ,ni vigumu kuambukizwa ila na wewe unapenda uroda sana bhana.
 
Back
Top Bottom