Kesho madereva watagoma tena nchi nzima

Status
Not open for further replies.
Naangalia kurasa (EATV)kiongozi wa wenye madaladala mkoa wa d'salaam amesema kesho hakuna mgomo wa daladala labda mabasi mengine
 
Wagome tu.

Nimechoka na ujuha wa viongozi na mwiananchi baadhi mijinga mijinga ya tz,
 
!serikali kwa sasa wamelala' wanasubiri mgomo uanze kesho, ndiyo waje kutoa tamko!
 
Hao madereva wapigwe tu hao madereva kwani hamna namna sasa , tumechoka ndiyo wapigwe tu hao madereva.
 
duh !, tumezoea kuwacheka wenye magari eti kwanini wamekimbilia kununua gari badala ya kujenga, wao kesho barabari nyeupeee
 
Hakuna gari ya abiria barabarani.

Watu nyomi vituoni wanatoa mimacho tu
 
Songea hakuna mgomo , nipo ndani ya superfeo tayari kwenda kufa njiani.
 

Unachoongea ni kweli kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…