TeamMayweather holaaaaaa.
Kesho kutakuwa na mgomo wa madereva wote, pikipiki to magari makubwa,umoja umoja wa madereva umeeleza makubaliano walio anzimia na serikari ubungo siku ya mgomo wa kwanza yamepuuzwa.
Basi the daladala user's ni busara kuamka mapema, kwani mgomo uanza mara nyingi saa 12.
Pia serikari ni busara kaangalia namna ya kuzima malalamiko kila kona, mgongo huu unamdhara mengi sanaa kwa wananchi.
#TMT .
chadema wapo nyuma ya hii kitu mkutano mkuu wa chadema upo pacha na hii migomo
solution ni kuifuta cdm kwanye uso wa dunia
Ukiifuta CDM ndio unaharibu kabisa maana CDM ndio yenye dawa ya kuondoa Migoma Tanzania.Dawa ni kuipa CDM uongozi wa Nchi maana hata Maisha Bora kwa kila Mtanzania yameshindikana kwa sababu ya CDM kutokuwepo Madarakanichadema wapo nyuma ya hii kitu mkutano mkuu wa chadema upo pacha na hii migomo
solution ni kuifuta cdm kwanye uso wa dunia
wewe unatumia akili au matope.chadema inahusikaje?serikali ifanye masosa wewe usingizie chadema.kinachotakiwa ni serikali ya ccm kuyapatia ufumbuzi malalamiko ya madereva na si kukaa kimya.chadema ndiyo serikali ijayo kuanzia novemba mwaka huu kufutwa sio rahisi kakachadema wapo nyuma ya hii kitu mkutano mkuu wa chadema upo pacha na hii migomo