baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,479
- 12,092
Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake.
Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema bahari imetulia au waliosema wabaya hawafi nao wakitoa hotuba zao kujifanya walikua marafiki wa JPM kesho ndo utaona unafiki wa wanasiasa wa Tanzania
Hakuna rangi tutaacha kuona wengine watalazimika kujiliza machozi ya Uongo wakati wanaonyesha unafiki wao watasahau kijana wa JPM wa kuaminika Polepole hajulikani yuko wapi muda sasa
Nitakuepo Chato na mimi nikiwashangaa hawa Wanafiki wa kutupwa