Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,377
- 4,847
Herini ya Sikukuu ya Noeli wale wote wanaosherekea siku hii nzuri ya kuzaliwa kwa Mkombozi wetu Yesu Kristo.
Ni mwendelezo wa kauli za kibaguzi zenye mlengo wa kuibua chokochoko za kidini ila uzuri hiki ni kizazi cha wanaojielewa.
Mimi rafiki yangu ni Mwisilamu, anayenikopesha nikiishiwa ni Mwisilamu, nikiishiwa Unga naomba kwa Zuena and vice versa is true.
Wakati viongozi wa Kikristo wakifanya jukumu lao la kuhubiri Haki na Amani kuna Mashehe wao wamechukua majukumu ya Msigwa kuisemea serikali.
Uzuri hawana hoja watanzania wametambua hilo, kauli zao nyingi niza kibaguzi zisizo na mantiki yoyote zikielemea kidini.
Wamesahau jukumu lao la kukemea mabaya na kuirekebisha serikali pale inapokwenda kinyume.
Sidhani kama Risasi za tarehe 29 zilichagua.
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna sakata la uchinjaji, nani anastahili kuchinja liliibuka.
Uzuri Serikali ya kipindi kile ilikemea mapema sana na mambo yalikaa vizuri.
Mambo yamekua kinyume kwa sasa wote wanaotoa kauli zenye mlengo wa kidini hasa kushambulia Wakristo wamekua wakipigiwa makofi.
Kauli hizi za kidini hazina Afya kwa taifa letu wote tujikite kwenye kudai Haki na sio kuanza kushambulia upande 1 uliosimama kwenye kutenda na kusema ukweli.