miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kesho narudi iwe isiwe, utamu gani huu unasahau majukumu?
ndo ufe maskini kifuatacho
kesho narudi iwe isiwe, utamu gani huu unasahau majukumu?
Niliwahi kubisha sana kuhusu Tanga.
Lakini siku niliyoenda, nikafuta kauli yangu.
Nimeingia Tanga tokea wiki iliyopita kwa kazi binafsi, kama mnavyojua mambo ya Tanga, msemo wa waja leo warudi leo haupo tena, wanasema waja leo kurudi majaliwa, kwa kweli kuondoka imekuwa majaliwa, kila nikipanga kuondoka linaibuka jipya, hadithi za kwamba ".... oh mpenzi nguo nimeloweka..." nilikuwa nazisikia tu, kuna zaidi ya hayo, ukarimu wa watu hawa umepindukia jamani, nimeapa kesho liwalo na liwe, nitaondoka na nguo mbichi na hata ikibidi bila nguo, potelea mbali.

unataka na wewe uje?
Niliwahi kubisha sana kuhusu Tanga.
Lakini siku niliyoenda, nikafuta kauli yangu.
nauli huna utaondoka vip
nguo zimelowekwa umefungwa msuli or kanga?
tulia hapo umefika kuogeshwa,kulishwa,na kubembwa maisha ndo hayo
kwahiyo vigunaguna tanga wanatisha?.Ngoja ntazuka one day niprove.mkuu kusema ukweli nilikaa nje siku ya kwanza tu, baada ya hapo nipo ndani tu.
miss tattoo ....umejaa tattoo mwili mzima nini.
kweli nauli sina ila nitaomba nitumiwe tu, kesho lazima niondoke.