Kesho Lazima niondoke Tanga

Kesho Lazima niondoke Tanga

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Nimeingia Tanga tokea wiki iliyopita kwa kazi binafsi, kama mnavyojua mambo ya Tanga, msemo wa waja leo warudi leo haupo tena, wanasema waja leo kurudi majaliwa, kwa kweli kuondoka imekuwa majaliwa, kila nikipanga kuondoka linaibuka jipya, hadithi za kwamba ".... oh mpenzi nguo nimeloweka..." nilikuwa nazisikia tu, kuna zaidi ya hayo, ukarimu wa watu hawa umepindukia jamani, nimeapa kesho liwalo na liwe, nitaondoka na nguo mbichi na hata ikibidi bila nguo, potelea mbali.
 
nauli huna utaondoka vip

nguo zimelowekwa umefungwa msuli or kanga?

tulia hapo umefika kuogeshwa,kulishwa,na kubembwa maisha ndo hayo
 
Haloo hayo ndo mambo ya tanga atiii mapenz yalianzia tanga ila bdo kugundulika adam n eva walizaliwa handenii, tanga mjin lushoto au wapi
 
Uko tanga sehem gani? Kuna boya boya lilikaa tanga mwezi mzima afu likaja JF kudai tanga hakuna kitu,.. Eti ilikuwa zamani
 
mrija ukikata utaondoka hata kwa mguu, Tanga kutamu mno kuingia kutoka inakuwaga na maumivu makali mno
 
Uko tanga sehem gani? Kuna boya boya lilikaa tanga mwezi mzima afu likaja JF kudai tanga hakuna kitu,.. Eti ilikuwa zamani

unataka na wewe uje?
 
Haloo hayo ndo mambo ya tanga atiii mapenz yalianzia tanga ila bdo kugundulika adam n eva walizaliwa handenii, tanga mjin lushoto au wapi

unataka kujua nipo wapi ili?
 
nauli huna utaondoka vip

nguo zimelowekwa umefungwa msuli or kanga?

tulia hapo umefika kuogeshwa,kulishwa,na kubembwa maisha ndo hayo

kweli nauli sina ila nitaomba nitumiwe tu, kesho lazima niondoke.
 
Nimeingia Tanga tokea wiki iliyopita kwa kazi binafsi, kama mnavyojua mambo ya Tanga, msemo wa waja leo warudi leo haupo tena, wanasema waja leo kurudi majaliwa, kwa kweli kuondoka imekuwa majaliwa, kila nikipanga kuondoka linaibuka jipya, hadithi za kwamba ".... oh mpenzi nguo nimeloweka..." nilikuwa nazisikia tu, kuna zaidi ya hayo, ukarimu wa watu hawa umepindukia jamani, nimeapa kesho liwalo na liwe, nitaondoka na nguo mbichi na hata ikibidi bila nguo, potelea mbali.
Kila kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom