Kerry: Tungedungua ndege za Urusi

Kerry: Tungedungua ndege za Urusi

Bukyanagandi meli iyumbe yumbe kwa kupita ndege mbili angani duu..
GPS, radio & navigation systems were jammed,...
Nimesoma taarifa ya habari ya Shirika la uchina.. Kweli it was a great humiliation....
Sishangai Urusi ku jam modern systems za Uss Donald Cook... This is the second time, the first incident happened in last year.. The same ship was humiliated by the single Russian made Su 24 multirole attack jet
 
Hawa watu hawakosi malumbano na vikao kila baada ya muda na kisha visa vya mikwara vinaanza tena, wenye ujuzi nifungulieni hili.......kwa nini Russia anaonekana kutoiogopa America pamoja na kwamba linachukuliwa ndio taifa lenye nguvu duniani huku likiwa na umoja wa Nato uliosambaratisha tawala nyingi?
Kwa nini America kote hana mzaha ila kwa Russia anaonyesha nidhamu ya woga?
Naomba uelewa wakongwe wa duru za kimataifa
 
apeleke tena kadege kake anga ya uturuki, mbona kwenye navy ya marekani wamerudiarudia?! tatizo marekani anawalealea mno!
Wewe Jamaa unapenda sana Vita hujui hata madhara yake??
 
Sijawahi kusikia marekani wakikandia uwezo wa kijeshi wa warusi hata siku moja, ila kwa warusi kuponda US ni mara nyingi tu.

Marekani huwa wako smart sana kwenye kila jambo ndio maana nashangaaga watu kuto quation habari za kujivua nguo zinazotoka jikoni kwao wenyewe kuzibeba na kuziamini kama zilivyo.

HAWAJAWAHI KUWA WAPUMBAVU KIASI HIKI TUMIENI AKILI.
 
Hawa watu hawakosi malumbano na vikao kila baada ya muda na kisha visa vya mikwara vinaanza tena, wenye ujuzi nifungulieni hili.......kwa nini Russia anaonekana kutoiogopa America pamoja na kwamba linachukuliwa ndio taifa lenye nguvu duniani huku likiwa na umoja wa Nato uliosambaratisha tawala nyingi?
Kwa nini America kote hana mzaha ila kwa Russia anaonyesha nidhamu ya woga?
Naomba uelewa wakongwe wa duru za kimataifa
Umeshawahi kuona Simba na Chui wakidhuriana kwenye jangle.The same like that.
 
Sijawahi kusikia marekani wakikandia uwezo wa kijeshi wa warusi hata siku moja, ila kwa warusi kuponda US ni mara nyingi tu.

Marekani huwa wako smart sana kwenye kila jambo ndio maana nashangaaga watu kuto quation habari za kujivua nguo zinazotoka jikoni kwao wenyewe kuzibeba na kuziamini kama zilivyo.

HAWAJAWAHI KUWA WAPUMBAVU KIASI HIKI TUMIENI AKILI.
Russia is not a global power but it's a regional power
 
Marekani haiwezi kuthubutu kufanya lolote, makeke tu na majigambo wanaonea nchi ndogo tu hata Taifa kama Korea ya kasikazini inaweza kuitoa kamasi itakuwa Urusi, kama wangekuwa wanajiamini mbona jetfighters za Urusi zilikuwa zinakatiza kwa kasi hardly 50 above water mpaka Wamarekani wakalalamika kwamba sonic boom/wake ilifanya meli nzima ianze kuyumba yumba si hilo tu Urusi irusha a subsonic Helicopter ya kipelelezi ikapiga picha Destroyer walikaa angani kwa muda walio taka wenyewe Uncle SAM didn't attempt to stop them or did they?

Kisa hiki kinatufanya tubaki tunajiuliza maswali mengi? Kwa nini Marekani analalamika kwamba walijaribu kuwasiliana na marubani wa kirusi kwa kutumia frequency za kimataifa bila mafanikio, je marubani wa Warusi walizima radio zao/transponders zao wakiwa na lengo gani?

Je Wamarekani wanaeleza kila kitu kilicho wasibu kwa siku mbili mfululizo mfano Destroyer yao kukumbwa na ukosefu wa mawasiliano i.e kuzimwa kwa system zao za kielectronic kutoka kwenye a land based Jammer tukiweka maanani kwamba meli ilikuwa umbali wa 50 nautical miles kutoka pwani ya Urusi, wenzetu wana aiborne, landbased fixed na mobile radio jammers - juzi juzi hapa Korea ya Kusini na Marekani walilakamika kwamba Korea Kasikasizi umejamm mawimbi ya GPS yanayo tumika kuongozea smart bombs zao kwenye targets na mambo mengine nyeti, Wamarekani wanailahumu Urusi kwamba ndiyo iliwahuzia Korea kasikazini mitambo mobile ya ku jamm mawasiliano - ndio maana nasema Wamarekani hawatuelezi kila kitu kilicho wasibu kwa siku mbili mfulululizo!!

Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Wamerikani pamoja na jeuri yao wangeziachia ndege za Urusi zitambe mbele ya destroyer yao 4 two days wanaziangalia tu - Wachina leo wamesema kisa hicho kimewa humiliate Marekani for the second time - ni kweli.

Narudia kukumbusha members kwamba zoezi hilo lilichukua siku mbili mfululizo, mbona Wamerikani hawakufanya lolote hata kujaribu fufyatua warning shot au flare, badala yake unawasikia kwenye video clip wanazungumza kwa sauti ya woga wakiwa kwenye bridge/deck - mara, oh jamani ndege hizo zinakuja angalia upande wa kushoto - woga kama nini.

Hapa Wamarekani wanajifanya meli yao ilikuwa kwenye safari za kawaida hiyo sio kweli mission ya Marekani kwenda Baltic sea ni kutaka kujaribu kutumia ECM zao kudhibiti za Warusi au ku scan frequence band zinazotumiwa na system za Urusi halafu baadae waenda wakazi study na kutafuta mbinu kuzidisable, mambo yanavyo onekana mission ya kipelelezi imeprove kuwa abortive ndio maana walibaki kuwa watazamaji/palysed communicationwise kwa siku mbili mfululizo - Marekani hawezi kukili ukweli huo, Warusi wanavyo jiamini walikaa kimya bila kutangaza kisa hicho kwenye media za kwao au nchi za nje, vyombo vya habari vya nchi za magharibi ndio vilihamua ku-break the news finally - swali ni: KWA NINI?

Leo hii Marekani wanakuja na a reconciliatory TONE, eti oh unajua mambo haya ni hatari sana uwezi jua kungetokea nini eventuary, eti pasije pakatokea miscalculation kwa bahati mbaya watu wakaumia au kufa, Wamarekani hawazungumzii tena masuala ya vita au utunishaji misuli - wanataka eti pawepo mawasiliano ya mara kwa mara na Urusi kwa njia ya kidiplomasia au kijeshi kujaribu kudhibiti uwezekano wa kutokea accident!! What a U turn 4 the YANKEES - kuna kitu pale si bure.
urusi, korea kaskazini, zimbabwe hizi nchi zinapenda sana kutafuta umaarufu wa kijinga lakini hazina lolote, waige jinsi ya kupata umaarufu kwa US, CHINA, JAPAN, S.KOREA, GERMANY, nk
 
urusi, korea kaskazini, zimbabwe hizi nchi zinapenda sana kutafuta umaarufu wa kijinga lakini hazina lolote, waige jinsi ya kupata umaarufu kwa US, CHINA, JAPAN, S.KOREA, GERMANY, nk
Hizo nchi zinapendaje huo umaarufu wa kijinga toka kwa marekani mkuu???
 
Hawa watu hawakosi malumbano na vikao kila baada ya muda na kisha visa vya mikwara vinaanza tena, wenye ujuzi nifungulieni hili.......kwa nini Russia anaonekana kutoiogopa America pamoja na kwamba linachukuliwa ndio taifa lenye nguvu duniani huku likiwa na umoja wa Nato uliosambaratisha tawala nyingi?
Kwa nini America kote hana mzaha ila kwa Russia anaonyesha nidhamu ya woga?
Naomba uelewa wakongwe wa duru za kimataifa
urusi anaigopa sana US kuliko kitu chochote kile, hiyo mikwala hata tanzania tunaweza piga, au huoni north korea, iran au mgabe anavyotukanaga western lakin hawana time nao? ili uone hasira za US gusa maslahi yao lazima uisome namba. US hapiganagi vita vya hasara hata siku moja, ni deal tu
 
America inatambulika kivita ila kama wapo dizain ya simba na chui, basi inaonekana Urusi nayo sio mchezo......pamoja mkuu

Urusi na Amerika wote wana viwanda vya silaha na hizo mbwembwe ni kuzifanyia majaribio silaha mpya. Hata hizi vita vya nchi za kiarabu na za kiafrika ni mwendelezo wa kuimarisha viwanda hivyo. Wanatupiganisha halafu wanatuuzia silaha na wananchi wao wanapata ajira na serikali zao zinapata kodi na hapo hatuna ujanja. Mbona hatujiulizi kwa nini wazungu hawapigani wenyewe kwa wenyewe?
 
Sijawahi kusikia marekani wakikandia uwezo wa kijeshi wa warusi hata siku moja, ila kwa warusi kuponda US ni mara nyingi tu.

Marekani huwa wako smart sana kwenye kila jambo ndio maana nashangaaga watu kuto quation habari za kujivua nguo zinazotoka jikoni kwao wenyewe kuzibeba na kuziamini kama zilivyo.

HAWAJAWAHI KUWA WAPUMBAVU KIASI HIKI TUMIENI AKILI.
marekani, china, japan, south korea, nk wako kipesa zaidi, hawanaga huo upuuzi wa kupoteza muda wa bure
 
Heeeh, makubwa, sikujua kuwa kumbe kuna ubishi wa kiwango hiki
ubishi gan? hakuna unachojua ww kaa kimya, syria hata jwtz inaweza kurushu ndege zao za kivita, ni kutoa taarifa tu kwa wadau wengine waliopo pale, syria sasa haicontrol anga zake. hata kesho magufuli akisema IS wanatishia usalama tz hivyo anatuma ndege kwenda kushambulia, ni kuwajuza tu wadau anaanza kazi
 
ila aisee arsene wenger akiendelea kua kocha wa arsenal baada ya huu msimu mi naacha kabisa kuangalia mpira wazee
 
ubishi gan? hakuna unachojua ww kaa kimya, syria hata jwtz inaweza kurushu ndege zao za kivita, ni kutoa taarifa tu kwa wadau wengine waliopo pale, syria sasa haicontrol anga zake. hata kesho magufuli akisema IS wanatishia usalama tz hivyo anatuma ndege kwenda kushambulia, ni kuwajuza tu wadau anaanza kazi

mmmmmmmmmhhhhhhhh haya bwana, wewe ndiye unayejua
 
teh teh teh yaani wewe jamaa, bado unawasikiliza hawa BBC wanaoripoti mabaya ya afrika kila siku. Unategemea nini kuhusu serikali hasimu ya Urusi.??
kwa hawajasema unachopenda kusikia!
 
Back
Top Bottom