John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Najua wewe ushapeleka 071 yako.. Tupe feedbackkwan mie nisema wasomali waoga?! we peleka hiyo 071 yako pale uone, si waoga! labda wanaweza wasiile
Najua wewe ushapeleka 071 yako.. Tupe feedbackkwan mie nisema wasomali waoga?! we peleka hiyo 071 yako pale uone, si waoga! labda wanaweza wasiile
Mimi sitaki na sijasema kuwa nataka.. Afu bwa mdogo jiheshimu. Sawa? Heshima haiuzwiwe peleka tu wakufeed hiyo back kama unavyotaka
Huyu jamaa sijui kinamuuma nini mimi kuiponda USAwakuu naona mnaenda Arusha sasa mnatoka kwenye Mada..
midege ya urusi yanaweza shushwa hata kwa manati, wamarekani waliwapuuza tu,Sijui aliogopa nini kutoa order ya kuziangusha kama walivyofanya Turkey.
yaa ni vizuri kuongea unavyoona wewe kwa hakuna hapa alie katika jeshi la USA au Urusi ni mitazamo yetu tuu ila vita ni kitu kingine msifike kutukanana Wakuu kwa sababu ya USA na Urusi..Huyu jamaa sijui kinamuuma nini mimi kuiponda USA
hoya na mwenzio black bat mnazingua maana mshatoka nje ya thread km vp nendeni pm mtukanane mkimaliza mrudikwan mie nisema wasomali waoga?! we peleka hiyo 071 yako pale uone, si waoga! labda wanaweza wasiile