Kero zetu zifikishe mbinguni

Kero zetu zifikishe mbinguni

mgeni wenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
3,664
Reaction score
1,731
Mh:Hayati Regia Estelatus(doto)Mtema,ni Majuzi tu umekusanya Kero zetu kwa ajili ya kuzipeleka Bungeni na pia ulisaema utazisemea nje ya Bunge,Ombi letu kwako ni kama kwa aina yeyote unasoma hii Thread basi peleka kero zoote ulizokusanya Mbinguni,yawezekana ni mipango ya Mungu kukutuma tukupe Kero zetu ili zifike Kwake,wana Jamvi msilie sana sasa tuna Mwakilishi hadi Mbinguni wana Chadema angalau CHACHA WANGWE amempata mtu wa CHAMA CHAKE naamini sasa CHADEMA ipo mbinguni pia..
Mjulishe baba wa Taifa kuwa sasa CHAMA CHAKE hakina mvuto tena hata wa uzao wake Wapo CHADEMA,na Makongoro pia Mafisadi hawamtaki CCM amekuwa mwiba mkali kwao,pia Mwambie Sokoine amtokee mwanawe Namelock ajiunge na Watanzania,Tuna Mmiss Kawawa..mengi najua umeondoka Nayo na utayafikisha.....
RIP Regia
 
Wafu hawajui lolote. Wamelala usingizi wa milele, hivyo basi kumtuma marehemu ni kupoteza muda na rasilimali!
 
comments zimeniacha hoi, ila msiba huu unsikitisha kwakweli.
 
Una uhakika gani?ulishawahi kuonja mauti?

Kwani wewe ulishawahi kuonja mauti hadi uwe na uhakika kwamba marehemu anatambua yanayojiri baada ya kifo?

Btw, Soma maandiko upate maarifa!
 
Hakika tumepata pigo mhe.mtema aliwapenda mno watanzania(soma mabandiko yake between lines utaona)lakin mungu kampenda zaidi tusimpe kaz ya kwenda shitaki bali tumwombe apate pumziko jema na la milele amina.
 
Back
Top Bottom