kalimanzilajuma
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 323
- 314
Kwa hii hospital sasa hv ni kero,yaani ukienda kutibiwa uwe umekula kabisa.yaani unaweza ukaenda SAA 3 asubuhi ukarudi SAA Moja usiku.Daktari ni mmoja tu,foleni ya wagonjwa ni kero.wahudumu majibu ya hovyo.Kwa dhati kabisa naomba uongozi uchukue hatua ya kuondoa hizi kero.Nimepita tu Leo wakati naelekea mbeya nimelazimika kulala iringa kwa sababu ya huduma za hovyo.