Kero zangu kuhusu Hospitali ya Agakhan Iringa (Miyomboni)

kalimanzilajuma

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
323
314
Kwa hii hospital sasa hv ni kero,yaani ukienda kutibiwa uwe umekula kabisa.yaani unaweza ukaenda SAA 3 asubuhi ukarudi SAA Moja usiku.Daktari ni mmoja tu,foleni ya wagonjwa ni kero.wahudumu majibu ya hovyo.Kwa dhati kabisa naomba uongozi uchukue hatua ya kuondoa hizi kero.Nimepita tu Leo wakati naelekea mbeya nimelazimika kulala iringa kwa sababu ya huduma za hovyo.
 
Mtext ally hapi huko instagram ndio raisi tatizo lako lishughulikiwe
 
Jumatatu ni kawaida Mkuu... Hospitali zote huwa na foleni sanaa...

Alafu hospital hakunaga fast track kaka.. Patience.. Na ndio maana mgonjwa anaitwa patient.

Tatizo moja ambali naweza kubaliana na wewe ni madokta wengi kutowepo ktk vyumba vyao. Na hili ni tatizo la nchi nzima. Wengi wanakuwa wanahudumu dispensary nyingine.

Lugha au kauli chafu unawonea. Huenda na wewe ulienda na panic zako.
 
Ni vyema uende siku moja uone

Back
Top Bottom