Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Precise Pangolin,
Nashukuru kwa mtazamo wako. Kwa mwezi huu wa Septemba nimekuwa Mbagala siku zifuatazo:
2/9 - Mwaliko Ibada Mbagala KKKT. Mchana nilitembelea miundombinu ya barabara na madaraja inayohitaji maboresho.
6/9 - Nilikutanana kusikiliza kero za wananchi katika Ofisi yangu iliyopo Mbagala Kizuiani.
13/9 - Nilishiriki katika ukaguzi wa barabara ya Kilwa pamoja na Waziri Magufuli katika eneo la Kizuiani.
21/9 - Nilitembelea miundombinu na miradi ya maendeleo katika maeneo ya Mangaya na Moringe. Siku hiyo nilitembelea kata ya Kiburugwa maeneo ya Kingugi, kwa Dumbarume na kufanya mkutano wa hadhara Kingugi.
Kata ya Mbagala ina mitaa mitano, ni mtaa upi unaouongelea wewe? Kuhusu Toangoma nilikuwa na mkutano na wadau wa maendeleo wa sekta ya elimu juzi siku ya Jumamosi 22/9.
Nilaumiwe kwa mengine lakini si kwa ziara za kata na kuongea na wananchi.
Mkuu Huku mbagala hatujawahi kumuona tokea 2010 tunajuta lakini 2015 asifikishe daluga HukuSi kweli hata kidogo........ NI mbunge wangu pia, nadhani kuna lako jambo maana CCM mkikosa wa kuwalipua na kuwaibia mnaishia kutafunana wenyewe
We can support different political ideologies but we need to be realistic when it comes to development
Si kweli hata kidogo........ NI mbunge wangu pia, nadhani kuna lako jambo maana CCM mkikosa wa kuwalipua na kuwaibia mnaishia kutafunana wenyewe
We can support different political ideologies but we need to be realistic when it comes to development
blah blah nilishaacha mkuu, long time kitambo mkuukama kuna mambo ameyafanya huko mbagala siumtajie mwana jombo mwenzako ?? acha bla bla blah
Mkuu Huku mbagala hatujawahi kumuona tokea 2010 tunajuta lakini 2015 asifikishe daluga Huku
TRUE THAT KAMANDAUzuri wa wabongo akija na tshirts na pilau isiyo na nyama mnasahau yote na kumpigia kura tena. Shamba la bibi, hadi mtakapoamua!
Jana alikuwa anafungua album ya nyimbo za dini Kama mgeni rasmi huyo tapeli mkuu tena ilikuwa ni gezaulole. Sehemu Kama kisota na kibada lazima aje kwasababu wanaishi watu wenye hela ndefukaka mbagala kubwa sana, uwe specific, ni sawa na kusema alifika kisota lakini mtaa wangu hakuja, au kaenda gezaulole lakini ras kutani hakufika
just be specific mkuu, maana kwenye wall yake na ile ya kigamboni i want kuna updates zote za kazi zake... there are a few members e.g. 235 mule nk
jana tu amepost kwamba alikua charambe kwenye shughuli ya kijamii, kiburugwa nk.
@Mama Mdogo ushauri nimeupata 2015 atanikomaKwani huo mzigo umefungashwa kwa super glue juu ya vichwa/mabega yenu??? Si muutue??? Kumbekeni wenzenu wameshatua mizigo yao na wako raha mstarehe. Nia nyingine, ushusheni huo mzigo muupakue upungue uzito halafu muubebe tena, itakuwa ni nafuu. Huo ni ushauri wangu wa bure!!!