moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 894
- 856
Sio vifurushi vya internet tu hata bundle za kupiga simu unanunua dk 50 kupiga tigo kwenda tigo kwa siku unatumia dk saba wanakuambia kifurushi kimekwisha ukipiga customer service wanakuomba wanashughulikia tatizo matokeo yake utarudishiwa kifurushi kesho yake tena zimebaki dk kumi muda wa kifurushi kuisha. Inakera sanaHabari JF, huu mtandao wa TIGO sasa imekuwa kama desturi kuseize kwa muda huduma zake na kubadili vifurushi bila taarifa. University ofa ya 1500 leo inatoa 10mbs kweli? Mna agenda gani na tunaoperuzi habari zao mara kwa mara?
Nina miaka 10 au 11 natumia huu mtandao ila nimewachoka. jua likitoka ntapanga foleni voda au airtel.
Mkuu leo saa 04 am menu ya ofa maalumu haikuwepo aisee nmekomaa lakini sikuipata...naelekea town ntanunua line nyingine tuAkili zao zimekaa kitigo tigo tuuu.. Mb's 10 za nini sasa si bora wasitoe kabisa...Anyways kama upo maeneo ya chuo ingia kwa ile menu yao ya *148*00# then chagua Ofa maalum hapo utaletewa university ofa ila ni kwa wale
wanaoishimaeneo ya vyuo kwenye hiyo ofa wana toa mb's 500 japo mwanzo walikuwa wanatoa Gb kabla hawajabadilisha
Mkuu motandao karibu yote inazingua sijui kwenye jiji la Bashite huko labda kunauafadhariHabari JF, huu mtandao wa TIGO sasa imekuwa kama desturi kuseize kwa muda huduma zake na kubadili vifurushi bila taarifa. University ofa ya 1500 leo inatoa 10mbs kweli? Mna agenda gani na tunaoperuzi habari zao mara kwa mara?
Nina miaka 10 au 11 natumia huu mtandao ila nimewachoka. jua likitoka ntapanga foleni voda au airtel.
Hii page ni geresha tu hakuna wanachoweza zaid ya kupotezeana mudaHuduma mbovu, niliomba PUK kupitia page yao, cha ajabu walishindwa kunipatia ndani ya siku nne angali niliwapatia vitu vyote walivyoniambia niwatumie kama uthibitisho wa kumiliki namba niliyokua naomba PUK zake. Mwishoni ikabidi nikaunge tu foleni ofisini kwao, poor Tigo
wanatoa Mb's300 sasa hiviAkili zao zimekaa kitigo tigo tuuu.. Mb's 10 za nini sasa si bora wasitoe kabisa...Anyways kama upo maeneo ya chuo ingia kwa ile menu yao ya *148*00# then chagua Ofa maalum hapo utaletewa university ofa ila ni kwa wale
wanaoishimaeneo ya vyuo kwenye hiyo ofa wana toa mb's 500 japo mwanzo walikuwa wanatoa Gb kabla hawajabadilisha