Kero za mafundi simu: Wengi wapo local sana

Sijui ni mimi tu mafundi niliowahi kutana nao au lah. Kama kule Kariakoo....mitaa kama Aggrey na Uhuru zina mafundi simu wengi ila wengi kama siyo wote ni miyeyusho. Mikoani huko ndo kabisa....

1. Unakuta fundi hana hata hot air blower gun au hata kama anayo hajui matumizi yake. Unampelekea simu unataka kubadili battery. Simu ina back glass, anaanza kuforce kutoa back glass kwa kuingiza vitu mule pembeni. Sometimes anaishia kuivunja, ukiwasha moto unaanza kuonekana mkali.

2. Kuweka gundi. Yaani fundi simu anakuwekea magundi mengi kazi inakuwa mbaya hata haivutii. Mbaya zaidi anaweka hayo magundi halafu hata glass yenyewe haishiki.

Wengi wanatumia B7000 glue lakini sidhani kama tatizo ni B7000. Maana ni gundi ambayo ina review nzuri mitandaoni.

View attachment 2239376

Nadhani shida siyo gundi ila shida ni kuipa hiyo Gundi mazingira inayotaka ila ishike vizuri. Hiki kipengele wengi wanafeli.

Suggestion; Badala ya kutumia hizo gundi tumieni double wall Adhesive tapes. Hizi tapes zipo specific kwa ajili ya simu husika au zipo ambazo ni multipurpose. 1mm au 2mm inafaa sana. Zinabana vizuri kuliko hayo magundi na kazi inakuwa safi.

View attachment 2239388

3. Fundi anakubadilishia kioo au back glass akimaliza anabana na Rubber band. Serious?????

Fundi unakosa hata vitu kama hivi?[emoji1484]

View attachment 2239391

Au hii[emoji1484]

View attachment 2239392

Yapo mengi ila kwa leo hayo matatu.

Mimi simu zangu narekebishia home maana unaweza kujikuta umemnasa fundi vibao.
Mkuu shida kubwa tuliyonayo ni kutokujiongeza na ujuaji mwingi, Phone Repair Tool Kit ambayo ipo full Ali Express haizidi hata 200k yaani inacheza humohumo lkn mafundi wetu hawana akili ya uwekezaji hata kwenye Vifaa. Mimi mwenyewe nianza kuwa Dissapointed muda mrefu sana na hawa mafundi wetu, kazi zao ni chafuu.
 
Screwdriver moja wanashare Mafundi 7 [emoji23]
 
Sijui ni mimi tu mafundi niliowahi kutana nao au lah. Kama kule Kariakoo....mitaa kama Aggrey na Uhuru zina mafundi simu wengi ila wengi kama siyo wote ni miyeyusho. Mikoani huko ndo kabisa....

1. Unakuta fundi hana hata hot air blower gun au hata kama anayo hajui matumizi yake. Unampelekea simu unataka kubadili battery. Simu ina back glass, anaanza kuforce kutoa back glass kwa kuingiza vitu mule pembeni. Sometimes anaishia kuivunja, ukiwasha moto unaanza kuonekana mkali.

2. Kuweka gundi. Yaani fundi simu anakuwekea magundi mengi kazi inakuwa mbaya hata haivutii. Mbaya zaidi anaweka hayo magundi halafu hata glass yenyewe haishiki.

Wengi wanatumia B7000 glue lakini sidhani kama tatizo ni B7000. Maana ni gundi ambayo ina review nzuri mitandaoni.

View attachment 2239376

Nadhani shida siyo gundi ila shida ni kuipa hiyo Gundi mazingira inayotaka ila ishike vizuri. Hiki kipengele wengi wanafeli.

Suggestion; Badala ya kutumia hizo gundi tumieni double wall Adhesive tapes. Hizi tapes zipo specific kwa ajili ya simu husika au zipo ambazo ni multipurpose. 1mm au 2mm inafaa sana. Zinabana vizuri kuliko hayo magundi na kazi inakuwa safi.

View attachment 2239388

3. Fundi anakubadilishia kioo au back glass akimaliza anabana na Rubber band. Serious?????

Fundi unakosa hata vitu kama hivi?[emoji1484]

View attachment 2239391

Au hii[emoji1484]

View attachment 2239392

Yapo mengi ila kwa leo hayo matatu.

Mimi simu zangu narekebishia home maana unaweza kujikuta umemnasa fundi vibao.
Kwanza kabisa tambua ufundi simu ni tasinia pana sana na huwezi ku-cover kila angle kwenye simu. Pili wengi wameingia kwenye ufundi simu kwa kutafuta namna ya kuishi siyo kutoa huduma.

Fikiria wewe leo uingie kwenye fani ambayo unajua ABC chache halafu aje mtu akwambie nunua vifaa fulani ili kuboresha huduma zako na haujui namna ya kuvitumia na wapi pa kuvipata.

Siyo ufundi simu tu, ufundi wowote hapa bongo wengi wao hawana vifaa vya kuwasaidia katika kazi zao. Unakuta kazi ya masaa 3 inaenda hadi siku 2 na zaidi siyo uvivu bali ni teknolojia wanayotumia.

Kwa vifaa ulivyoelezea haviwezi kumfanya mtu kuwa fundi wa simu. Kikubwa kinachokwamisha hapa bongo ni mitaji tu na hali ya umasikini wetu.

Setup ya mashine za kudeal na vioo tu inakaribia dola elfu 3, ukija upande setup tu ya fundi wa kudeal na saketi tu nayo inazidi dola 3000. Upande wa software kadhalika ni zaidi ya hizo, bado haujaweka vifaa vya kufunga na kufua simu.

Ofisi ya ufundi iliyokamilika ni mtaji mkubwa na lazima uwe na elimu ya kile unachokifanya. Huwezi kuwa na meza nje unavifaa vya kufungua na kufunga simu ukasema wewe ni fundi simu, wewe ni dalali wa ufundi simu tu.

Nchi zingine ufundi simu ni ajira rasmi na watu wanaajiliwa na wanalipwa mishahara mizuri tu. Ila kwetu ukiwa fundi simu unaonekana muhuni tu kutwa kukimbizana na polisi.
 
Acha uwongo we chizi...hio million 30 NI duka la simu au??me nadhani kwa haraka haraka tasnia Ina muelekeo sio mbaya Sana NI kuboresha TU baadhi ya mambo almost mtaji wa million tano unatosha kabsa...

Labda nikuulize nitajie vifaa ambavho vina cost pesa nyingi kwenye ufundi simu

Note:wabongo asilimia kubwa hatuna simu original hivyo mambo ya software sio tatizo Sana na uzuri memgi solution zake zinapatikana hata ukimpata Google ukapewa tips

Ishu NI kwenye hardware Kama alivyobainisha mtoa maada..mambo ya iPhone n.k kawaelekeze watu wa marekani
Kwa kumsadia microscope nzuri kuiagizia na ushuru wa ndani inafikia milioni 3 au zaidi. Sasa kwenye milioni 5 yako inabaki kiasi gani? Weka soldering iron laki 7, hot air blower nayo laki 7. Achana na hizi za laki na ½ zile siyo maalumu kwenye simu watu tunalazimisha tu.
 
Kwanza kabisa tambua ufundi simu ni tasinia pana sana na huwezi ku-cover kila angle kwenye simu. Pili wengi wameingia kwenye ufundi simu kwa kutafuta namna ya kuishi siyo kutoa huduma.

Fikiria wewe leo uingie kwenye fani ambayo unajua ABC chache halafu aje mtu akwambie nunua vifaa fulani ili kuboresha huduma zako na haujui namna ya kuvitumia na wapi pa kuvipata.

Siyo ufundi simu tu, ufundi wowote hapa bongo wengi wao hawana vifaa vya kuwasaidia katika kazi zao. Unakuta kazi ya masaa 3 inaenda hadi siku 2 na zaidi siyo uvivu bali ni teknolojia wanayotumia.

Kwa vifaa ulivyoelezea haviwezi kumfanya mtu kuwa fundi wa simu. Kikubwa kinachokwamisha hapa bongo ni mitaji tu na hali ya umasikini wetu.

Setup ya mashine za kudeal na vioo tu inakaribia dola elfu 3, ukija upande setup tu ya fundi wa kudeal na saketi tu nayo inazidi dola 3000. Upande wa software kadhalika ni zaidi ya hizo, bado haujaweka vifaa vya kufunga na kufua simu.

Ofisi ya ufundi iliyokamilika ni mtaji mkubwa na lazima uwe na elimu ya kile unachokifanya. Huwezi kuwa na meza nje unavifaa vya kufungua na kufunga simu ukasema wewe ni fundi simu, wewe ni dalali wa ufundi simu tu.

Nchi zingine ufundi simu ni ajira rasmi na watu wanaajiliwa na wanalipwa mishahara mizuri tu. Ila kwetu ukiwa fundi simu unaonekana muhuni tu kutwa kukimbizana na polisi.
Unakuza mambo aiseeee...

Sijui umenielewa nilichoandika?

I think hujanielewa.
 
Kwa kumsadia microscope nzuri kuiagizia na ushuru wa ndani inafikia milioni 3 au zaidi. Sasa kwenye milioni 5 yako inabaki kiasi gani? Weka soldering iron laki 7, hot air blower nayo laki 7. Achana na hizi za laki na ½ zile siyo maalumu kwenye simu watu tunalazimisha tu.
Unahitaji microscope kubadili mic kwenye simu?

No wonder nilisema hukunielewa.
 
Soldering Iron ya Laki 7 ndio ikoje?

9717274321683428955%20(1).jpg

Hiyo kitu me nimenunua hata 70k haifiki, unachoma kwa mkono mmoja tu.

Huu mwaka wa pili naitumia ofisini kwangu(kuna kazi huwa zinahitaji soldering). Haina hata dalili ya kufa.,
 
Unahitaji microscope kubadili mic kwenye simu?

No wonder nilisema hukunielewa.
Kama lengo lako ni kubadilisha mic, vioo na spika bado haujafikia kuitwa fundi na hauwezi kuelewa ninachomaanisha.
 
Soldering Iron ya Laki 7 ndio ikoje?

View attachment 2264395

Hiyo kitu me nimenunua hata 70k haifiki, unachoma kwa mkono mmoja tu.

Huu mwaka wa pili naitumia ofisini kwangu(kuna kazi huwa zinahitaji soldering). Haina hata dalili ya kufa.,
Kama kazi yako ni ya kuchomelea mic na mfanano wa vitu kama hivyo nunua zile za elfu 5 zinatosha. Kama unafanya micro soldering, laki 7 na zaidi inakuhusu.
 
Ingia AliExpress tafuta sugon t3602 soldering station. Ni micro soldering uone bei yake ya kununua tu bila usafiri.
 
Hii ipo sana.Nishabadili vioo mara mbili wanajaza magundi tu na mwisho kioo hakishi na kinavunjika.for sure mafund full ubabaishaji.
Mmoja aliniulia switch ya laptop hapo kkoo wakati nimeenda kwa tatizo jingine
 
Mkuu nimekuelewa sana, huwezi kuwa fundi professional kwa vitu ulivyoainisha.
Na mimi hakuna mahali nilizungumza habari za mafundi kuwa professional.

Ila nilisema wapo local kulingana na vitu wanavyofanya.

Na nikaainisha hizo area ambazo mimi niliona wapo local.
 
Kama kazi yako ni ya kuchomelea mic na mfanano wa vitu kama hivyo nunua zile za elfu 5 zinatosha. Kama unafanya micro soldering, laki 7 na zaidi inakuhusu.
Kwenye uzi wangu nilispoke vitu ambavyo very basic.

Kuna mahali popote nilizungumzia kuchomelea?
 
Kwanza kabisa tambua ufundi simu ni tasinia pana sana na huwezi ku-cover kila angle kwenye simu. Pili wengi wameingia kwenye ufundi simu kwa kutafuta namna ya kuishi siyo kutoa huduma.

Fikiria wewe leo uingie kwenye fani ambayo unajua ABC chache halafu aje mtu akwambie nunua vifaa fulani ili kuboresha huduma zako na haujui namna ya kuvitumia na wapi pa kuvipata.

Siyo ufundi simu tu, ufundi wowote hapa bongo wengi wao hawana vifaa vya kuwasaidia katika kazi zao. Unakuta kazi ya masaa 3 inaenda hadi siku 2 na zaidi siyo uvivu bali ni teknolojia wanayotumia.

Kwa vifaa ulivyoelezea haviwezi kumfanya mtu kuwa fundi wa simu. Kikubwa kinachokwamisha hapa bongo ni mitaji tu na hali ya umasikini wetu.

Setup ya mashine za kudeal na vioo tu inakaribia dola elfu 3, ukija upande setup tu ya fundi wa kudeal na saketi tu nayo inazidi dola 3000. Upande wa software kadhalika ni zaidi ya hizo, bado haujaweka vifaa vya kufunga na kufua simu.

Ofisi ya ufundi iliyokamilika ni mtaji mkubwa na lazima uwe na elimu ya kile unachokifanya. Huwezi kuwa na meza nje unavifaa vya kufungua na kufunga simu ukasema wewe ni fundi simu, wewe ni dalali wa ufundi simu tu.

Nchi zingine ufundi simu ni ajira rasmi na watu wanaajiliwa na wanalipwa mishahara mizuri tu. Ila kwetu ukiwa fundi simu unaonekana muhuni tu kutwa kukimbizana na polisi.
Hizo gharama ulizotaja ni kubwa mno kwa Basic Phone Rapair kama kubadili vioo, betri, kufix speaker nk. Phone Repair Tool Kit haizidi 200k kama unaagiza.
 
Kwa kumsadia microscope nzuri kuiagizia na ushuru wa ndani inafikia milioni 3 au zaidi. Sasa kwenye milioni 5 yako inabaki kiasi gani? Weka soldering iron laki 7, hot air blower nayo laki 7. Achana na hizi za laki na ½ zile siyo maalumu kwenye simu watu tunalazimisha tu.
Mbona hivyo vyote bei zake Kkoo za kawaida, we hizo bei umezitoa wapi?
 
Back
Top Bottom