Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,937
- 236,587
Si umnunulie gari lake MkuuAhsante sana kwa ushauri mkuu. Nimepanga nimpotezee mazima ili ajifunze na kutafakari.najua anaweza kupambana,kipato anacho maana ni muajiriwa wa government.japo roho inaniuma kuhusu mwanangu.
Haiwezekani unamchukia mke wangu na familia yangu,ambayo wala hata haikujui.
Mimba ya pili ya Doctor kazaa? Au imefikia wapi?Mercy hapoi hata asubuhi leo kanichek ila wanawake mateso wanajitakia wao, Mage kuna mambo hayakwenda kama tulivopanga ila mipango ya ndoa ipo palepale
Ukitaka kutafuta wa kwako ni kipengere muda umeyoyoma tafakari chukua maamuzi,usipokuwa makini utajikuta unasugua na Tango,kuwa makini,usipokuwa makini utajikuta unaliwa na mwanamke mwenzio,ukibebwa kubali yote,huyo mume wa mtu anakuwa amekuepusha na mengi mnoSasa nani anataka hizi mambo. Bora kuwa singo kuliko kudate mume wa mtu ni mateso sana.
Vipi na wanaume ambao wako singleKwa mazingira yalivyo sasa ni vigumu kutokuwa na mahusiano na mme wa mtu, kwa sababu sisi wanaume ni wachache na tunazidi kupungua kila siku kutokana na wengine kukimbilia kwenye uanamke.
usishindane na sisi.Mimi mmenishinda.
Waongo mno...wanatupanga kama wanne hiviVipi na wanaume ambao wako single
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wake zetu wanajisahau sana, unakuwa naye yeye tu huchepuki Wala nini lakini sometimes kukupa maQu anajivuta vuuuuta
Tatizo sometimes anakuletea story ya uchungu anataka kushauriwa....yamemfika hapaAkileta story za mkeo tafuta namna kuepusha, ukiona anazidisha mwambie ukweli, hatupo hata kumjadili wife. It's you n' me.
Kwahiyo sidechicks kazi yake kutoa sex mwanzo mwisho hawachokagi au sio ππUwepo wa side chicks unasaidia sana kuimarisha Ndoa zetu
Wengi mliooa mnaweza kuwa mashahidi kwamba Ni Wanawake wachache sana wanaotoa tendo la Ndoa Kwa Waume zao Kila wanapohitajika
Wengi wanatoa hadi wapende kisa tayari ameolewa na kuwekwa ndani,
tena ukipewa mwisho kupiga viwili na ole wako ufululize kupiga Siku 7 za wiki
Utaambiwa nimechoka, unataka kunizeesha na sababu zingine
Pamoja na changamoto alizotaja mtoa mada, sioni sababu za msingi kwanini muingie kwenye mtego wake wa kuwahamasisha mtuache kisa tumeoa...
Maisha yenyewe ni haya haya, tuendelee kufurahia
Kama umedate wenye sifa zote hizo wewe ni chura wa kizimkaziHey
Weekend kwangu ipo poa sana. Natumaini hata yako imetulia, kinyume na hapo jipe moyo, siku hazifanani na pia hazigandi...
Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa. Ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya wengine. Jamani, kina dada, hii kitu mimi ilishanishinda; sijui wenzangu mnawezaje kuwa happy na mahusiano ya namna hiyo. Yawezekana ukute huu muda dada uko hotel happily na married man, lakini sijawahi enjoy. Nishajaribu kudate nao mara kadhaa, ila mara nyingi nimekuwa nikiangukia pua. Sifiki mbali; kuna vitu ambavyo nashindwa kuroll nao. Mfano:
1. UONGO
Jamani hao viumbe ni waongo, Shetani akasome. Utasikia mwingine anasema hampendi kabisa huyo mwanamke, kwanza alilazimishwa kumuoa. Mwingine utasikia: "Silali nae chumba kimoja, mpe miezi sita utamuona huyoo anampeleka mkewe clinic." Ukisikia hizo mambo za design hivo, sister, Don't buy it!
2. UNAFIKI
Hao jamaa, achana nao. Kuna wale wanafiki uko nao, ila kila muda utasikia "wife this, wife that." Yaani anajifanya anampeeeeendaaaa, unabaki kushangaa kama unampenda mbona unamcheat? Nikishasikia tu mume wa mtu kaanza wife sijui nini nini, hilo penzi linanishinda kabisa; inakata sana stimu.
3. UMBEA
Kuna wale wasengenya wake zao. Ooooh, usiombe ukutane nao. Anamuanika mkewe, unabaki kushangaa. Huyu kama mkewe aliyemtolea hadi mahali hivi, mimi sasa si ndio atanipiga na picha hapo ni ndukiiii.
NUKSI
Ukiwa nao, hayo mambo hayaendi kabisa. Kuna namna tu unakuwa unakwama. Sijui maombi ya wake zao yanaweka kizuizi, au ni vile mimi mwenyewe nakuwaga napata kauoga na ka guilty. Utasikia kale ka kamstari ka Ebr 13:4 "ndo na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi" kanakuwa kananijiajia tu bila sababu za msingi.
KUFICHWAFICHWA
Yaani unakuwa kama heroine, huku bado upangiwe muda wa kumpigia simu. Utasikia "Baby, ndio nimefika home, usinipigie, usiku mwema, nakupenda sana." πππ Whaaaat?
Anyway, yako mengi. Sijui wenzangu mnawezaje, ila kupanga ni kuchagua, maana unaweza kudhani uko kwenye mahusiano unakataa watu wema kumbe uko single. Wake up, weekend njemaaa!
Timu ya real Madrid hutafuta waxhezaji walionyesha uweza na experience e.g Killian Mbape.Kwa mazingira ya sasa huwezi kupata wa peke yako, labda utafute vijana wanaotafuta kulelewa
Hapana. Ni mateso kuwa kwenye mahusiano ya kufichwa fichwa.Ukitaka kutafuta wa kwako ni kipengere muda umeyoyoma tafakari chukua maamuzi,usipokuwa makini utajikuta unasugua na Tango,kuwa makini,usipokuwa makini utajikuta unaliwa na mwanamke mwenzio,ukibebwa kubali yote,huyo mume wa mtu anakuwa amekuepusha na mengi mno
Kushauriana kupo ila sio issues za nyumba kubwa, hakuna kumjadili wife hata kwa bahati mbaya. Kila mtu ajue mipaka yake, apate stahiki zake maisha yaende. Kuna age kwa mwanamke asipokuwa makini ni kuwa side chick tu, itakuwa vyema kwake akipata mwanaume anajielewa ili atunzwe kama mke.Tatizo sometimes anakuletea story ya uchungu anataka kushauriwa....yamemfika hapa
Wanaume wengine vifua hawana atasema kila kitu cha nyumbani kwake ili apate sympathy ya mchepukoKushauriana kupo ila sio issues za nyumba kubwa, hakuna kumjadili wife hata kwa bahati mbaya. Kila mtu ajue mipaka yake, apate stahiki zake maisha yaende. Kuna age kwa mwanamke asipokuwa makini ni kuwa side chick tu, itakuwa vyema kwake akipata mwanaume anajielewa ili atunzwe kama mke.
Ukiwa singo na unazaidi ya miaka 35,inawezekana akawa anapelekewa motoVipi na wanaume ambao wako single
Upo sahihi, kuna watu wanatafuta sympathy kwa micheps ili waonekane wanawapenda.Wanaume wengine vifua hawana atasema kila kitu cha nyumbani kwake ili apate sympathy ya mchepuko
Koh Koh Koh ..........Mjukuu MjukuuKwahiyo sidechicks kazi yake kutoa sex mwanzo mwisho hawachokagi au sio ππ
Unataka kusema yule nanii hachokagi ni kampa kampa tena au sioKoh Koh Koh ..........Mjukuu Mjukuu
Mbona una maswali magumu kwenye notes rahisi Mjukuu? π€
Yupi huyo MjukuuUnataka kusema yule nanii hachokagi ni kampa kampa tena au sio