Kero ya wanawake wanene kwenye usafiri wa umma

Kero ya wanawake wanene kwenye usafiri wa umma

kupitia headfone, basi katika seat uliyoketi akiketi mwanamke mnene inakuwa kero maana WENGINE HAWAKAI KIUSTAARABU. Anaweza akakukalia sehemu ya mwili wako, ama akakusukumiza, ama akakubana sana, eti kisa tu anajiona ana minyama. Sijui wanakaaje na waume zao huko nyumbani. Yaani wanakera.

Kero ni mwanamke mnene tu?
Mwanaume ni burudani?
Uwe na adabu
 
angekuwa wakike nahisi nisingeudhika sana kwanza kwasababu ni wa kike halafu makalio yake yangekuwa malaini.......

wakiume , tena alikuwa amevaa jeans

wa hivyo unamuuliza tu 'oyaa vipi? ndo nini hii....anajirekebisha....manake ukizubaa akipumua anakuharibia safari yote
 
wa hivyo unamuuliza tu 'oyaa vipi? ndo nini hii....anajirekebisha....manake ukizubaa akipumua anakuharibia safari yote

Alihama siti , ila sijui kwanini niliudhika sana......... ningekuwa ni mtu wa ugomvi ningemtandika vibao pale pale.
 
Huu naona ni aina nyngine ya ubaguzi, Siku moja safarini nlishuhudia mama mmoja anatukanwa bila hata hatia kisa tu ni mnene ikawa kesi kubwa kikukweli sio uungwana kisa unene na wembamba je....? Akikukalia na yeye si anakuumiza
 
ulionaje kamchubua? af tena kwenye paja hmmmmmmmmm!!!!
 
Watu wanene wakiambiwa walipe nauli mbili kwenye daladala wanasema wanaonewa, lakini mi naona ni kawaida, kwasababu kama huwezi kutosha kwenye siti moja inabidi ulipie na ya pili pia. Nafikiri hata kwenye ndege wanafanyiwa hivi.
 
Have you stopped to think that any of those women could be your Mother?
so what?muwe mnaoga na mjifunze kukaa kistaarabu mnapotumia public transport.
hata mama yangu hawezi kuwa mchafu mchafu na tabia za kivule kivule namna hiyo
 
Halaf wanapenda kulakula ndan ya gari mara mahindi sijui mayai yaan wanakera kweli
 
Mijimama ikishakaa upande wa dirisha inaweka vibegi vyao kwenye siti upande wa dirisha nafasi ya pili inakua ndogoo. halafu inafunga vioo kisa nywele huku vikwapa na midomo inatoa harufu mbaya. kibaya zaidi hainyamazi. yaani yeye ni kukoment kila kitu. taabu sana. Slender woman ni asset
 
Bila shaka kama huwa unasafiri safiri hasa kwa kutumia usafiri wa magari ya abiria hususani daladala utakuwa ulishakumbwa na adha hii;

Unakuta umekaa zako umetulia whether umechoka ama unawaza mipango yako ama una mitoko yako ama unasikiliza kupitia headfone, basi katika seat uliyoketi akiketi mwanamke mnene inakuwa kero maana WENGINE HAWAKAI KIUSTAARABU. Anaweza akakukalia sehemu ya mwili wako, ama akakusukumiza, ama akakubana sana, eti kisa tu anajiona ana minyama. Sijui wanakaaje na waume zao huko nyumbani. Yaani wanakera.

Hii kero si yangu peke yangu ndo maana nikaileta humu tuijadili na pia watu wa aina hiyo ni vema wakajirekebisha. Kuna siku niliona kaja mmama mtu mzima akajikalia kama mti umeanguka akamkalia mdada wa watu sehemu ya paja hadi kamchubua! Watu kama hao sijui wakikalia ile kitu wanaikalia kwa nguvu hivyo! Wanaume waliozoea kukaliwa na mijitu isiyochukua tahadhari kama hiyo wajihadhari , unaweza ukapindishwa jembe lako!

Mbona husem na kujamba jamba
 
Back
Top Bottom