Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
haaaaaa wanene tuna tabu
sijasema ni kosa kuwa mnene, nazungumzia matumizi mabaya ya unene wao kuwabugudhi wengine.
Hahaha kama na wewe umeshindwa kununua gari, bora uwekeze kwenye kula unenepe kiduchu. Manake kama wanakukalia hadi jembe, duuuh!
Kazi kweli kweliBila shaka kama huwa unasafiri safiri hasa kwa kutumia usafiri wa magari ya abiria hususani daladala utakuwa ulishakumbwa na adha hii;
Unakuta umekaa zako umetulia whether umechoka ama unawaza mipango yako ama una mitoko yako ama unasikiliza kupitia headfone, basi katika seat uliyoketi akiketi mwanamke mnene inakuwa kero maana WENGINE HAWAKAI KIUSTAARABU. Anaweza akakukalia sehemu ya mwili wako, ama akakusukumiza, ama akakubana sana, eti kisa tu anajiona ana minyama. Sijui wanakaaje na waume zao huko nyumbani. Yaani wanakera.
Hii kero si yangu peke yangu ndo maana nikaileta humu tuijadili na pia watu wa aina hiyo ni vema wakajirekebisha. Kuna siku niliona kaja mmama mtu mzima akajikalia kama mti umeanguka akamkalia mdada wa watu sehemu ya paja hadi kamchubua! Watu kama hao sijui wakikalia ile kitu kwa nguvu hivyo! Wanaume waliozoea kukaliwa na mijitu isiyochukua tahadhari kama hiyo wajihadhari , unaweza ukapindishwa jembe lako!
Kazi kweli kweli
Doooh mi juzi ilinikuta mbaya zaidi alikuwa ana harufu ya jana
sina uwezo.
Teh teh kama nakuona....hiyo hata haina uhusiano na ukubwa wa mwili , jana mimi kuna kijana tu na mwili wake mdogo kaniletea makalio yake mpaka kwenye ubavu wangu aliniudhi mno.........
then punguza kulalamika
Unadhani angekuwa wa kike angemind?kijana wa kike sio?
Bila shaka kama huwa unasafiri safiri hasa kwa kutumia usafiri wa magari ya abiria hususani daladala utakuwa ulishakumbwa na adha hii;
Unakuta umekaa zako umetulia whether umechoka ama unawaza mipango yako ama una mitoko yako ama unasikiliza kupitia headfone, basi katika seat uliyoketi akiketi mwanamke mnene inakuwa kero maana WENGINE HAWAKAI KIUSTAARABU. Anaweza akakukalia sehemu ya mwili wako, ama akakusukumiza, ama akakubana sana, eti kisa tu anajiona ana minyama. Sijui wanakaaje na waume zao huko nyumbani. Yaani wanakera.
Hii kero si yangu peke yangu ndo maana nikaileta humu tuijadili na pia watu wa aina hiyo ni vema wakajirekebisha. Kuna siku niliona kaja mmama mtu mzima akajikalia kama mti umeanguka akamkalia mdada wa watu sehemu ya paja hadi kamchubua! Watu kama hao sijui wakikalia ile kitu wanaikalia kwa nguvu hivyo! Wanaume waliozoea kukaliwa na mijitu isiyochukua tahadhari kama hiyo wajihadhari , unaweza ukapindishwa jembe lako!
Unadhani angekuwa wa kike angemind?