Kero ya wanawake wanene kwenye usafiri wa umma

Kero ya wanawake wanene kwenye usafiri wa umma

Mtuwache tupumue,nakukera nyanyuka shikilia bomba huwezi shuka...

ni ustaarabu kutupumulia? Kuanzia manywele machafu, mdomo unanuka, makwapa yanatema, hapo kati, bado mwatukalia! Punguzeni bhana, unakaa tu kwa ustaarabu.
 
Mi huwa natangulizaga dole gumba juu ya siti,likija jimama mzobemzobe linakikalia,afu namwambia samahani najifanya nna ma fealings balaa.
 
Bila shaka kama huwa unasafiri safiri hasa kwa kutumia usafiri wa magari ya abiria hususani daladala utakuwa ulishakumbwa na adha hii;

Unakuta umekaa zako umetulia whether umechoka ama unawaza mipango yako ama una mitoko yako ama unasikiliza kupitia headfone, basi katika seat uliyoketi akiketi mwanamke mnene inakuwa kero maana WENGINE HAWAKAI KIUSTAARABU. Anaweza akakukalia sehemu ya mwili wako, ama akakusukumiza, ama akakubana sana, eti kisa tu anajiona ana minyama. Sijui wanakaaje na waume zao huko nyumbani. Yaani wanakera.

Hii kero si yangu peke yangu ndo maana nikaileta humu tuijadili na pia watu wa aina hiyo ni vema wakajirekebisha. Kuna siku niliona kaja mmama mtu mzima akajikalia kama mti umeanguka akamkalia mdada wa watu sehemu ya paja hadi kamchubua! Watu kama hao sijui wakikalia ile kitu wanaikalia kwa nguvu hivyo! Wanaume waliozoea kukaliwa na mijitu isiyochukua tahadhari kama hiyo wajihadhari , unaweza ukapindishwa jembe lako!

Next time wasilisha haya malalamiko kwa konda
 
Ndo achague sasa kushika bomba ama kuguswa na neema tulizojaaliwa nazo,
Adhabu za kushika bomba wazifahamu wewe?

dallaaa28.3.jpg
 
Nyinyi wasafi sana eeh?
ni ustaarabu kutupumulia? Kuanzia manywele machafu, mdomo unanuka, makwapa yanatema, hapo kati, bado mwatukalia! Punguzeni bhana, unakaa tu kwa ustaarabu.
 
Mi huwa natangulizaga dole gumba juu ya siti,likija jimama mzobemzobe linakikalia,afu namwambia samahani najifanya nna ma fealings balaa.

inategemea kama hakijamwingia.
 
Kuna lingine nimekaa nalo hapa linavonizonga cjui nilipush''''
 
Muwasamehe miili ile, inawafanya hivyo.

Na wengi kama umechunguza utaona wakishakaa kwenye kiti wanahema katika muhemo usio kawaida, na hata ukaaji kuna wakati unakuwa wa tabu sana.

Tuwavumilie na kuwasamehe
 
Nadhani hapo issue ni kukaa kistaarabu na kuwaangalia wenzako.., ila issue ya unene ni maumbile ya mtu sio busara kuwalaumu wenye hio miili..

Ingawa kuna ndege ilishataka kuwa-charge extra watu wenye miili mikubwa sijui ilifikia wapi hii..

By the way different strokes for different folks..., wengine wanakwambia
You got shade in the summer. And warmth in the winter ...
 
kumbe unazungumzia "neeema za .....!" Mkuu nisaidie kunitajia routes za dala dala ambazo hao wako watu wengi, nini kukaliwa, mii hata akainlalia kabisa, wala silalamiki na sintamshataki kwa konda! nambie mkuu fasta
 
dallaaa28.3.jpg


Halafu kuwe na foleni, na unaposhuka wewe labda iwe vituo vya mwisho mwisho, na hakuna abiria wanaoshuka vituo vya mwanzoni.

Hapa lazima akili ikae sawa
 
Or her sister or her grandma etc mnapendaga raha za kibwegebwege. Nunua lako na usitutukanie mama zetu. nyambaf! Eti mijimama, matunda ya shule za kata na vodafasta hata adabu hamna. kama kweli kakubana si unamuomba tu, samahani mama, dada au bibi unaweza kusogea kidogo?
 
kumbe unazungumzia "neeema za .....!" Mkuu nisaidie kunitajia routes za dala dala ambazo hao wako watu wengi, nini kukaliwa, mii hata akainlalia kabisa, wala silalamiki na sintamshataki kwa konda! nambie mkuu fasta

kuna mabaunsa ya Sing'isi huku Arusha! Vifodi vya Tengeru
 
Or her sister or her grandma etc mnapendaga raha za kibwegebwege. Nunua lako na usitutukanie mama zetu. nyambaf! Eti mijimama, matunda ya shule za kata na vodafasta hata adabu hamna. kama kweli kakubana si unamuomba tu, samahani mama, dada au bibi unaweza kusogea kidogo?

anibane then nimwombe asogee!
 
Back
Top Bottom