Kero ya wanawake wanene kwenye usafiri wa umma

kweli mwana hawa wanatakiwa lipa nauli mara mbili maana wanatuonea sana
 
Hii mitoto ya siku hizi haina adabu kabisa!

namaanisha akinifanyia mm kama ni mama yangu mzazi haina shida, ila kama ni mama mzazi pia anafanyia wengine hivyo siyo ustaarabu maza!
 
Kumbe na wewe hauna gari kama mimi lol? Maana nilisikia kwamba member wa JF wote wana degree,nyumba na magari.
:focus:
Tabia hizo wanazo sana kina dada wakikaa dirishani hawataki kabisa kufungua vioo kwa kuhofia nywele na mi wigi yao ya kichina itavurugika mie huwa nafungua akimaindi namwambia kama hautaki hewa ungeenda kukaa kwenye siti za nyuma kule huwa hazifunguki vioo.

Gari ninalo nimejisahau tu ha ha ha ha
 
hiyo hata haina uhusiano na ukubwa wa mwili , jana mimi kuna kijana tu na mwili wake mdogo kaniletea makalio yake mpaka kwenye ubavu wangu aliniudhi mno.........
 
pole sana, lakn angekuwa bonge si ingekuwa shughuli?
 
namaanisha akinifanyia mm kama ni mama yangu mzazi haina shida, ila kama ni mama mzazi pia anafanyia wengine hivyo siyo ustaarabu maza!
Hatujafikia hatua hii wewe kijana katika jamii zetu. Mtunzie heshima mama yako na usiwe wa kwanza kudhihaki makosa ya mama yako. Huu ustaarabu waachie hao wanaojiita wana demokrasia kwenye familia!. Hakuna mkamilifu huku duniani lakini heshima kwa mzazi huwezi kuiondoa hata kwenye maandiko ya dini imesisitizwa!
 
kwahiyo wewe ukifanyiwa hayo unapoa et kwakuwa ni mama yako? Maandiko yapi yamesema mtu aache kutumia ustaarabu?
 
Usijifanye kupoteza direction ya nilichoandika. Hapa ulikuwa unamdiss mzazi (mama) wako. Nimekwambia acha huo ujinga, huwezi ukamkashifu mama yako. Mtunzie heshima ni mama yako mzazi. Waache wengine wamkosoe ila wewe mwanawe mheshimu na makosa yake. Nimekuambia maandiko yanasisitiza kuheshimu wazazi, usiingize hoja ambayo sikuiandika. Wala sikulazimishi, hutaki unaacha, huu ni ushauri wa bure wala huna haja ya kuweka dialogue!.
 
hakuna mahali nimezungumzia kumdis mzazi. Verify.
 
By the way Majimama wengi wamenenepa Baada ya Kuwazaa nyie mnaokuja kuwanyanyapaa huku ! hawakuzaliwa wanene uzazi wa mimba zenu ndio uliowanenepesha ! kama Hamlijui hilo Muulize Baba zenu waliwakutaje ! Mfyuuuuuuu! :sorry:

sijasema ni kosa kuwa mnene, nazungumzia matumizi mabaya ya unene wao kuwabugudhi wengine.
 
Back
Top Bottom