Ndugu zangu Waislamu na Wakristo kuna ulazima gani kuweka vipaza sauti nje ilihali ibada mnafanyia ndani!!?.... spika za ndani pekee zinatosha kuendesha ibada zenu , ningeomba mamlaka husika iliangalie hili
Napendekeza muito(adhana) pekee ndo utumike kwenye kipaza, zaidi ya hapo ni usumbufu kwangu mimi nisiyehusika na ibada zenu
kama watu mshawaita na tayari wameingia ktk nyumba ya ibada, hakuna ulazima wa kuendelea kuiachia sauti ya nje inisumbue mimi
Asante naimani mtajirekebisha ndugu zangu wakristo (baadhi) na Waislamu
View attachment 1118084