KERO YA VIPAZA SAUTI MISIKITINI NA MAKANISANI

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,088
Reaction score
2,174
Ndugu zangu Waislamu na Wakristo kuna ulazima gani kuweka vipaza sauti nje ilihali ibada mnafanyia ndani!!?.... spika za ndani pekee zinatosha kuendesha ibada zenu , ningeomba mamlaka husika iliangalie hili

Napendekeza muito(adhana) pekee ndo utumike kwenye kipaza, zaidi ya hapo ni usumbufu kwangu mimi nisiyehusika na ibada zenu

kama watu mshawaita na tayari wameingia ktk nyumba ya ibada, hakuna ulazima wa kuendelea kuiachia sauti ya nje inisumbue mimi

Asante naimani mtajirekebisha ndugu zangu wakristo (baadhi) na Waislamu
images.jpeg
 
Ndugu zangu Waislamu na Wakristo kuna ulazima gani kuweka vipaza sauti nje ilihali ibada mnafanyia ndani!!?.... spika za ndani pekee zinatosha kuendesha ibada zenu , ningeomba mamlaka husika iliangalie hili

Napendekeza muito(adhana) pekee ndo utumike kwenye kipaza, zaidi ya hapo ni usumbufu kwangu mimi nisiyehusika na ibada zenu

kama watu mshawaita na tayari wameingia ktk nyumba ya ibada, hakuna ulazima wa kuendelea kuiachia sauti ya nje inisumbue mimi

Asante naimani mtajirekebisha ndugu zangu wakristo (baadhi) na Waislamu View attachment 1118084
Kwa mantiki hiyo,hata adhana haina haja ya kutangazwa kwenye kipaza sauti kila wakati.

Kwani adhana haiwezi kufanyika bila maiki?
 
Kero ni yale maombi ya kuendesha ibada hasa Jumapili na Ijumaa maana uchukua hadi masaa mawili

Adhana sio tatizo maana ni dkk 10 tu na inaleta mantiki maana ni muito wa kwenda ibadani

hivi na nchi za magharibi misikiti ina vipaza sauti vya kuamsha watu saa kumi za usiku?
 
Ni kweli kuna haja ya Mamlaka kuliangalia hili Maana akili inakosa muda wa kupumzika.
 
Kero ni yale maombi ya kuendesha ibada hasa Jumapili na Ijumaa maana uchukua hadi masaa mawili
Adhana sio tatizo maana ni dkk 10 tu na inaleta mantiki maana ni muito wa kwenda ibadani
Sijawahi kuona makanisa yana hivyo vipaza sauti kama vya msikitini.
Vipaza sauti vya msikitini viko juu yani umeme ukikatika sijui huwa mnafanyaje?

Kama siku hizi za mfungo ni balaa kuanzia saa 12 allaaah allaaaah nasikia tu alafu kaukimya kanapita kumbe ngoma zinafuturu sasa kuanzia saa mbili ni rasmi sheikh anaanza yake.

Makanisa ya kilokole yapo karibu na makazi ya watu asilimia kubwa na hayana eneo kubwa sasa kwa namna wanavyosali hawa nao ni kelele vibaya sana
 
Ndugu zangu Waislamu na Wakristo kuna ulazima gani kuweka vipaza sauti nje ilihali ibada mnafanyia ndani!!?.... spika za ndani pekee zinatosha kuendesha ibada zenu , ningeomba mamlaka husika iliangalie hili

Napendekeza muito(adhana) pekee ndo utumike kwenye kipaza, zaidi ya hapo ni usumbufu kwangu mimi nisiyehusika na ibada zenu

kama watu mshawaita na tayari wameingia ktk nyumba ya ibada, hakuna ulazima wa kuendelea kuiachia sauti ya nje inisumbue mimi

Asante naimani mtajirekebisha ndugu zangu wakristo (baadhi) na Waislamu View attachment 1118084
Wee hujui kuwa Mungu anapenda kelele...?!!?
 
Kwanini mnapoambiwa ukweli mnajihami kwa vitisho
Kama kufa kila mtu atakufa, na kama ibada muabudu kimyakimya bila kuwakera wengine
Ipo siku utatamani sana kuzisikia hizo sauti na hautaweza kuzisikia, ndipo utakapoanza kulia na kusaga meno.
 
Hii noise pollution tushaipigia sana kelele tukashauri wafunge spka za ndani

Ila naona hakuna utekelezaji
 
Ni kweli ndugu spika za ndani zinatosha maana kuweka vipaza sauti wanalazimisha eneo lote liwe sehemu ya ibada

Back
Top Bottom