MATATA2011
Member
- Dec 11, 2011
- 20
- 2
Hapa moshi mjini, nimezunguka vituo vya GAPCO, NGILOI Petrol station, BP Petroleum nimekosa PETROL,nimekuta kibandiko kwenye shell husika kikisomeka hivi " NO PETROL" hali ni mbaya kabisa. Tatizo ni kubwa,hivo katika kuulizia kwa nini hakuna mafuta,si mhudumu yeyote aliyekuwa tayari kusema tatizo ni nini. lakini kwa mbali nimenusa harufu ya mgomo baridi kwani katika kuulizia nimeambiwa inaonekana mafuta yapo ila wamiliki walio wengi wa vituo vya mafuta wanataka bei iongezeke zaidi. Jamani tunaenda wapiii???........! but nimesikia pia kuna vituo fulani vinayo mafuta ngoja nitafuatilia ila kabajaji kangu kameishiwa kama sitavutwa na break down leo sijui....!