Kero ya hii ndoto

Kero ya hii ndoto

Ni dalili kuwa siku za kuishi duniani zinahesabika na umekaribia kwenda mbinguni kwenye maziwa naa asali.

Au we hupapendi mbinguni?
Nakudedicatia wimbo wa Ambassador choir- kwetu pazuri.
 
eeeeeh!shoga angu upo na taji lako uaringaje sasa ivi unakumbuka ulivyolipata pata?
 
Yaani ww ngoma bado haijanoga afu unaanza kuota. Ngoja tufike kwenye chorus ndo utaona live.
 
Hao ni maadui wanawawinda
Salini sana na sisi tunaaombea charminglady
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa yote lakini omba mungu wako pili jiweke busy na jitahidi kichwa chako kukijaza habari mpya soma vitabu kukufanya kuacha kuota ndoto ileile ila naona kama ni jumbe umeishakamilika na sisis ni wa africa jaribu kuuliza zaidi kwa watu ila naona lilokuwa linabashiliwa ni Vurungu za Ntwara na umeona wewe inabidi ujiunge na wasoma nyota!lol!
 
Ni dalili kuwa siku za kuishi duniani zinahesabika na umekaribia kwenda mbinguni kwenye maziwa naa asali.

Au we hupapendi mbinguni?
Nakudedicatia wimbo wa Ambassador choir- kwetu pazuri.

Haya KakaJambazi... Kama ni hivyo sina budi kukubaliana na hali halisi make sina option!
 
Last edited by a moderator:
Ni wito kuwa unahitajika ntwara ukaongeze nguvu......
 
Pole kwa yote lakini omba mungu wako pili jiweke busy na jitahidi kichwa chako kukijaza habari mpya soma vitabu kukufanya kuacha kuota ndoto ileile ila naona kama ni jumbe umeishakamilika na sisis ni wa africa jaribu kuuliza zaidi kwa watu ila naona lilokuwa linabashiliwa ni Vurungu za Ntwara na umeona wewe inabidi ujiunge na wasoma nyota!lol!

Yawezekana niliziona... make kuna baadhi ya ndoto nikiota huwa zinatokea kweli.

Mf. kuna siku niliota mtu fulani kaja kazini kwangu kutaka kitu fulani.lakini akakosa.

Kesho yake alikuja mtu yule yule akitaka kitu kile kile lakini hakukipata. Nilishangaa sana....
 
Penda kufanyia kazi ndoto zako!
 
Pole sana!sali sana.

Ila mi huwa naota mara kwa mara na-fly kama ndege hewani
 
Back
Top Bottom