Kero ya hii ndoto

Kero ya hii ndoto

Habari zenyu binafsi wanaCC

Jamani hii ndoto imekuwa kero kwangu, last week niliotanimekamatwa na vibaka wakanipiga risasi mikononi mpaka damu zikawa zinavuja kwawingi ila sikufa, jana tena nikaota nakimbizwa na wanyarwanda wakawa wanalipuamabomu lakini hayakunipata. Isiposhe na my mummy naye aliota ndoto kama hiyolast week, kuwa anakimbizwa na risasi..

Sijui ni mapepo gani haya yanayoniandama kuhusiana na risasina mabomu!!!!!

Nimefadhaika sana!!!!!!!

akili yako inafikiri uko Mtwara!!!!🙂
 
Wakati mwingine ndoto tuotazo ni njia Mungu hutumia kutupatia ujumbe(Maono) ya jambo lijalo. Bahati mbaya sana, hata shetani pia aweza tumia njia ya ndoto( kwa manufaa yake ili kutuweka mbali na Mungu). Ni Roho mtakatifu peke yake aweza kutufunulia ndoto yenye ujumbe wa Mungu na isiyotoka kwa Mungu. Ukishajua hayo ndipo swala la kumkemea shetani AMA kuomba msaada zaidi wa Mungu ( thru Jesus Christ) litakuja! Hii ni kwa wale tu wanaomini Utatu mtakatifu, yaani Mungu mmoja ktk nafsi tatu.
 
Back
Top Bottom