Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,457
- 65,765
Shoppers sikuizi wahudumu wenu wana wajali sana wazungu kuna ka ubaguzi pia wahudumu wana lugha chafu una uliza ili upate kujua ila unajibiwa kama una fukuzwa kwamba usirudi tena hapa
Ipo hivi mimi nilikuwa nimeingia nimenunua vitu vyote sasa nikawa natafuta zile manda za sambusa sizioni ila naona manda zile ambazo sio za sambusa nika muita maana hapo nilikuwa nisha choka nika muuliza vip manda za sambusa sizion leo zimeisha au mmeamisha eneo ana nijibu ujui kusoma mkaka mzuri af ujui kusoma dah nikawa cool tu na muangalia aka niacha akaenda kwa wazungu
Alipo malizana nao nikamuita tena naomba nielekeze nitapata wapi manda aka nionyesha ambazo nipana ukifika uanze kuzikata nikamuuliza jinsi ya kuzikta ana niambia una weza chukua panga ukazikata dah nikaondoka kwa hasira nikawaachia vitu vyao nikaenda tafuta super market nyingine