Pole aseeh
Hiyo ya tatu nimetamani kuijua in deep. Ilikuaje? ?
Nami pia nmetamani huo mkasa wa # 3,sema kama angefanikiwa jamani angenitesa mie[emoji4][emoji4]!!
Ningekuwa nao ningepambana nao aseeeJirani wewe hauna mkasa.
Kiukweli binafsi majirani wqnafiki, wachoyo, wanaochunguza maisha ya watu na siwapend.
Aseeeh, karibu mitaani kwetu uwaone.Ningekuwa nao ningepambana nao aseee
Nitakuja na timbwili timbwili la Asha ngedereAseeeh, karibu mitaani kwetu uwaone.
Anza kumsaidia aliyetaka kubakwa.. nahisi anahali mbaya kunizidNitakuja na timbwili timbwili la Asha ngedere
Hawatokusumbua tenaaaa
Count on mi asee
Tayari nishamshikisha adabu aliyetaka kufanya hivyoAnza kumsaidia aliyetaka kubakwa.. nahisi anahali mbaya kunizid
Hehe..Lady of actions. I wish to have you. Ujirani lkn Lol nisije anzishiwa fagi hapaTayari nishamshikisha adabu aliyetaka kufanya hivyo