Kero njia ya kimara korogwe

Kero njia ya kimara korogwe

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,617
Reaction score
56,901
Aisee hiki kinyang'anyiro cha foleni hapo korogwe NI hatari kwanin tahmini haikufanyika kuhusu ujenzi utakavyoathiri hii Barabara yaani kutokea maji chumvi ikifika saa moja unaweza ukashanga Morogoro road unaigusa saa tatu.

Njia ndogo na kila mtu anataka kupanua apite hasa bajaji imagine foleni mpaka raia utashindwa kuvuka upande wa pili.

Ushauri wangu:kwa madereva wa bajaji wangeshuka wakatengeneza kituo kwa chini kidogo ya kkkt wasiforce kupakia abiria palepale.
 
Back
Top Bottom