Kero: Nimechoka hizi SMS za Vodacom

Kero: Nimechoka hizi SMS za Vodacom

Niliposoma tu andiko hili nimewapigia voda nakuwaeleza sitaki tena kuona msg za aina hiyo kwenye simu yangu,wamejibu kuwa wataacha kunitumia na SMS wamenitumia kuthibitisha kuwa wanashuhulika kunitoa kwenye matangazo hayo ya kamata mpunga,wacha nisubiri nione kama wataacha kweli, nashauri nanyi mnao kerwa na msg hizo pigeni Huduma kwa Wateja waelezeni kuwa hamzitaki hizo msg.
Hahahaaa umemaliza!
 
Ila inakera kwa sababu tangazo lenyewe sio valid,

Nadhani muda ushapita, sasa kwanini wasi autoblock hizo text kutokea kwao mpk tusumbuke kuandika ondoa sijui toka, kwenda nk...

Naamini wenyewe washauona huu ujumbe.wakikaa kwenye hizo sessions zao wakumbuke na hili sio offer ipo mfu then still sms zinaendelea.

Sijui
 
Hakuna siku Voda walinikera kama ile waliyonitumia msg inauliza:
Ni star gani alikuwa mpenzi wa Wema Sepetu kwa wiki 2 tu!
Halafu wakaweka options A,B,C za majina ya mabwana wa Wema!
Kwa kweli niliwashangaa mno
 
Ndugu mteja, ongeza sh. 500 ili ujipatie dakika 15 za bure.
 
Wengine tigo kuingilia mazungumzo.."ndugu mteja salio lako ni chini ya dk..."yaan wanaudhi hatari..hu mda wanaonambia dk zinaendelea kulika
 
Mmiliki wa 759743333 umechaguliwa kushiriki katika droo ya TZS 5,000,000 kesho! Tuma neno GO kwenda 15544 SASA & UJIUNGE Vodacom KAMATA MPUNGA!

Mmmiliki wa 759743333 AMECHAGULIWA KUJIUNGA kwenye droo leo ya ZAWADI TASLIMU. KUJIUNGA TUMA NENO GO kwenda 15544 SASA.

Kwanini kila siku mnichague mimi tu kwani hamna watumiaji wengine. Sina shida ni izo pesa zenu. Sasa tupo kwenye awamu ya Hapa kazi Tu hakuna pesa za bure bure kiraisi ivyo. Sidanganyiki ngooooo.
Hii ni kama style ya utapeli unafanywa na huu mtandao;kama kila mtu anatumiwa sms ya aina hiyo na hakuna hata mmoja aliyeripot kunufaika na promotion hizo ni utapeli,ningeona wanafaa Sana kama watu watacheza bila makato na wakashinda lakini kinachoendelea ni kuwanufaisha wao
 
Mmiliki wa 759743333 umechaguliwa kushiriki katika droo ya TZS 5,000,000 kesho! Tuma neno GO kwenda 15544 SASA & UJIUNGE Vodacom KAMATA MPUNGA!

Mmmiliki wa 759743333 AMECHAGULIWA KUJIUNGA kwenye droo leo ya ZAWADI TASLIMU. KUJIUNGA TUMA NENO GO kwenda 15544 SASA.

Kwanini kila siku mnichague mimi tu kwani hamna watumiaji wengine. Sina shida ni izo pesa zenu. Sasa tupo kwenye awamu ya Hapa kazi Tu hakuna pesa za bure bure kiraisi ivyo. Sidanganyiki ngooooo.
Kujitoa andika neno TOA kwenda namba 15544. Utakuwa umemalizana nao
 
mbaya zaidi wanatuma hizo sms mpaka kwenye line ya m-pesa (biashara) hayse ndugu wanakera c mchezo
 
Back
Top Bottom