Kero: Nimechoka hizi SMS za Vodacom

Kero: Nimechoka hizi SMS za Vodacom

Hahahahahaha mkuu utakua mchepukaji!! Ndo maana ulianza kujifunza kublock.


(Joking)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana mkuu. Niljifunza kublock sababu ya hz msg za voda. Yaan unaweza ukawa umesubir msg ya mpesa alafu inaingia ya voda kamata mpunga. Nikaona ni ujnga.
 
nadhani hawana weledi ... wapo wapo tu wanakera sana,mtu unasubiri sms ya maana wao wamekazana na sms zao
 
Huwezi kushinda kama huchezi. Jiunge na sherehe za ushindi kuna ma mia ya wachezaji wa KAMATA MPUNGA ambao wameshahinda MPUNGA MREFU!TUMA NENO GO kwenda 15544!

Nimewachoka sana.

wathumbuphu thaana!
mimi walikua wananitumia kila nikicheka tu! nikatuma neno ONDOA kwenda kwenye namba iyoiyo ndipo nikapata nafuu
 
Nilihama tigo kwa text za kijinga kma izo.
 
mkuu hii inakera pale unaposubiri call au message ya muhimu ndo unakuta text hiyo au Luna mtindo unapigiwa simu na hii mitandao yani unasubiri call ya muhimu unakuta sijui call kutoka kwa nani, asee, wanachokitafuta watakipata...
 
Hizo sms zimeiahakuwa kero sana. Mimi nadhani huwa ni kwangu tu kumbe tupo wengi. Mimi huwa nazifuta maana zinachosha sana.
 
Msg za voda za umechaguliwa ni kero Mimi kila siku ni kufuta tu. Voda mukiona mtu hachezi michezo yenu msimtumie msg!!!!
 
Pata 4G SMARTPHONES kuanzia Tsh.150,000. Baadhi ya simu za 4G ni SPEED6 (mpya) Huawei Y5II, Tecno N5 na samsung J1 Mini. Karibu ufurahie speed ya Vodacom 4G.
 
Mmiliki wa 759743333 umechaguliwa kushiriki katika droo ya TZS 5,000,000 kesho! Tuma neno GO kwenda 15544 SASA & UJIUNGE Vodacom KAMATA MPUNGA!

Mmmiliki wa 759743333 AMECHAGULIWA KUJIUNGA kwenye droo leo ya ZAWADI TASLIMU. KUJIUNGA TUMA NENO GO kwenda 15544 SASA.

Kwanini kila siku mnichague mimi tu kwani hamna watumiaji wengine. Sina shida ni izo pesa zenu. Sasa tupo kwenye awamu ya Hapa kazi Tu hakuna pesa za bure bure kiraisi ivyo. Sidanganyiki ngooooo.
Juzi kati hapa nilipiga simu customer care kuwaomba wani unsubscribe kwenye kupokea messages za Voda, akasema haiwezekani. Alo nilimfokea sana dada wa watu, baadaye nikagundua tu kuwa namuonea ikabidi nikate simu. Ila kwa ufupi wanaboa sana...
 
Na za mpower zinaboa kama wanakudai. Kwa siku wanatuma mbili
 
Back
Top Bottom