Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,563
- 20,609
Hii tabia na namna ya utangazaji, inashusha hadhi na heshima ya Radio Maria. Utangazaji una maadili yake yanapokiukwa inakuwa Kero kwa Wasikilizaji! Nipo nasikiliza kipindi hapa inakera sana Watangazaji wa kipindi hiki wanajichekeshachekesha ujinga mtupu.
Ujumbe huu ni kwa ajili yao Watangazaji Elizabeth Masanja na Leonard, mnakosa maadili ya utangazaji! Hatuwazuii kucheka lakini mmezidi na mnakuwa kama mazuzu fulani! Fr. Dominic Mavura una kazi ya kuwapeleka shule watangazaji wako. Radio ina vipindi vizuri sana, shida ni hiyo tu!