Hili tatizo sugu kwakweli, Mimi huwa nawaambia ondokeni nataka ninyoe.saloon kujaa watu ambao hawanyoi wapo tu wanajiangalia kwenye vioo
Mkuu hapo 3000 imetumiaka labda kama niende kwa 5k au 10k ...lkn kwa usawa huu 3k ni standard kabisaPole sana mkuu.... tafuta sloon za hadhi yako hizo za uswahilini achana nazo...kama unatimia bei ya 1000 kunyoa lazima upate usumbufu huo
Mkuu nafikiri wakisoma watajua la kujifunzaUnakuta umemuelekeza akunyoe style flani,jamaa unakuta anaongea mpaka anapindisha tofauti na ulivyomuelekeza,unajiuliza huyu anawezaje kufanya vitu vyote kwa wakati mmoja,huku ananyoa,huku anapiga story na huku anaangalia TV ukutani..!
Tabia ya kinyoz kua anapiga stori huku anakuchonga usoni aisee Hua napata tabu sana ya Mate