channel ten waandish wake au mhariri mkuu nadhani upeo wake ndipo umeishia hapo. maana haibadiliki na kwenda na wakati.
1. taarifa ya habari ipo muda mzuri saa 1 usiku lkn wanaivuta mpk saa 2 usiku, suppose 30mins
2. kipindi cha asubuhi kinaanza saa 12 asub mpk siku nyingine 12.45. suppose 15mins na wangewekeza kwenye usomaji wa magazeti. taarifa iliyotokea baada ya saa 2 usiku huikuti kwenye kipind hich cha asub zaid ya habari za usiku.
3. ni TV kongwe kwa budget hiyo waliokua nayo wangeboresha muonekano wa vipind vyao, kwa either kupunguza baadh ya vipindi na kuingiza vipindi vya nje vyenye maadili ya ki TZ
au kujikita kwenye vipindi vya kuonesha mila na desturi za KiTZ zaid.
4. kwa sasa Channel 10 ina bore lkn sipendi inapoelekea. mkurugenzi mkuu fanya kitu