and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,304
- 39,844
Duh...utakua mhaya tu ww....hiyo ndege ETHIOPIAN (ambapo bila kutaka utatumia uwanja tajwa) ni kwa ajili ya waafrika & wachina wabahili-bahili wenye akili wanajipambanua na EMIRATES, QATAR, SWISS na KLM
hahahahaaaaaa! ngoja tusubiri ATCL irudi kwa mwendokasihiyo ndege ETHIOPIAN (ambapo bila kutaka utatumia uwanja tajwa) ni kwa ajili ya waafrika & wachina wabahili-bahili wenye akili wanajipambanua na EMIRATES, QATAR, SWISS na KLM
Sawa
Nilifikiri na wewe ulikuwa huko weekend iliyopita una share 'kero' za huko
Sawa na Wanyarwanda.Nje wasafi ila ndani ni hovyo kabisa!Kiasili waethiopia ni wachafu.
Kiasili waethiopia ni wachafu.
Hapana aisee...Nilifikiri na wewe ulikuwa huko weekend iliyopita una share 'kero' za huko
Nimecheke kweli kwa hilo neno la SAIBABAWale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.
NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
Mi nilishaacha kula kwenye migahawa yao hao watu.
Sawa na Wanyarwanda.Nje wasafi ila ndani ni hovyo kabisa!
Kwani Tanzania wana migahawa?