Kero: Bango la matangazo round about kwa Kakobe

Kero: Bango la matangazo round about kwa Kakobe

Tmlekwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
258
Reaction score
241
Wadau,

Kuna hili bango hapo kwenye round about ya kwa kakobe yaan ni hatari sana nyakati za usiku sababu lina mwanga mkali sana unaokupiga machoni kama ukiwa unatokea Mwenge kwenda Ubungo. Kama ni mgeni unaweza kugonga hio round about.

Ushauri mamlaka ihamishe ilo bango au ilipandishe juu maana ni fupi
 
Yani umeandika as if wanaJf wote tunapajua hapo au tuko Dar/Tz. Lina shida gani? Picha je?
 
Nchi hii mambo yanaenda kienyeji...! Halmashauri ndio wanaweka mabango wakati Tanroads ndio wanajenga na kuplan barabara matokeo yake mabango mengi yanaleta blind spots kwenye junction nyingi sana!!! Unafika kwenye junction kulia kwako na kushoto kuna mbango ili uone gari zinazokuja inabidi gari itokeze kabisa barabarani!!! Ni hatari
 
Weka ka picha tusio pajua tutoe ushauri sahihi
 
Binafsi mabango ya namna hii yananisumbua sana kupita maelezo. Ukiwa unatembea tu utashindwa kuona mbele kwa kuwa lina mwanga mkali mno. Sasa wa kwenye magari ndio kuna tabu hasa. Yafaa jambo lifanyike...
 
Badili njia kama macho yako mabovu. Bango lipo kisheria na tathmini ilifanywa na wataalamu mpaka kutoa kibali. Hatuwezi kusikiliza maoni ya mgonjwa mmoja wa macho. (tutamsaidia pesa ya kupima macho).:crying:
 
.....dah...haya ndugu yangu...heri yako ww mzima wa macho!!!!
 
Yani umeandika as if wanaJf wote tunapajua hapo au tuko Dar/Tz. Lina shida gani? Picha je?

Mdau kaandika kama anapost kwenye group la W'app hajui kuna watu hata hiyo barabara ilipo hawapajui.
 
Mdau kaandika kama anapost kwenye group la W'app hajui kuna watu hata hiyo barabara ilipo hawapajui.

Soma vizuri..nimekumbia lipo mwenge kwenye round about ya pale kwa kakobe sasa unataka nikuelekezaje zaid???
 
Attachments

  • 1441792615280.jpg
    1441792615280.jpg
    20.4 KB · Views: 1,285
Ukifatilia sana utakuta hiyo kampuni ni ya wachaga! Na anaelalamika utakuta pia ni mchaga!!!

..pita hapo ucku mkubwa uwe unatoka mwenge ndo utaliona tatizo..kwa mchana hutaona tatizo!!..yaan ukiwa unadrive ni sawa kbs tena ni zaid ya kupigwa fulllight!
 
Kwanza kabisa gari unalotumia lina makosa itabidi nikuandikie faini.(kioo cha gari kimepasuka).

Pili hilo bango kama la Lowasaa liachwe tu hata kama linaumiza macho,ila kama la Magufuri tupa kule.
 
Kwanza kabisa gari unalotumia lina makosa itabidi nikuandikie faini.(kioo cha gari kimepasuka).

Pili hilo bango kama la Lowasaa liachwe tu hata kama linaumiza macho,ila kama la Magufuri tupa kule.

....teh teh sawa kamanda niandikie notification!
 
hapo siyo mlimani city ni opposite na sheli/subway

Good...upo sahihi kabisa sio huyo anaesema eti opposite na mliman city!!...hebu pita usiku likiwa limewashwa taa uwe kama unatoka mwenge then njoo utoe mrejesho
 
Wadau,

Kuna hili bango hapo kwenye round about ya kwa kakobe yaan ni hatari sana nyakati za usiku sababu lina mwanga mkali sana unaokupiga machoni kama ukiwa unatokea Mwenge kwenda Ubungo.
Pia pale junction ya Mnazi-Mmoja kuna bango kama hilo hilo. Zaidi ni kuwa mkabala na hiyo screen kuna jengo la glass ukuta wote. Mwanga unazidi yani mpaka wanaotembea utaonekana mpaka pichu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom