Kenyatta wa Kenya - Mtoto wa nyoka ni nyoka tu

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
home01pix.jpg

Kumbukumbu zinaonyesha Serikali ya CCM pamoja na CCM yenyewe ilishangilia sana hatima ya Uchaguzi Mkuu kenya uliorejesha kiti cha Urais wa Mzee Jomo Kenyatta kwa mtoto wake Kenyatta. Kikwete alienda mbali zaidi hadi kukutana naye faragha huko Arusha. Wengi wetu ambao tunamitazamo ya kiona mbali hatukuona cha pekee ambacho Kikwete na CCM wanachangamkia Kenyatta kukalia kiti hicho, ni sawa na kurejesha zama za babake Jomo Kenyatta.
32599_622822211079669_814212555_n.jpg

Aliyeisambaratisha Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 1977 ni Jomo Kenyatta ambaye ni baba yake. Leo mtoto wake baada ya kuingia madarakani tu hatua ya kwanza anayoifanya ni kuanza na ufa mkubwa ambao umeshaachia mwanya ulio vigumu kabisa kuuziba kwa sasa kwa vile walichoamua ni umoja wao ambao umeitenga Tanzania. Ile minong'ono kwamba Kenya inakusudia kuuvunja umoja wa Afrika Mashariki sasa yametimia. Majukumu ya umoja huo ya pamoja, cha kushangaza kama Kikwete hakuwa na nafasi ya kuhudhuria alikuwa na nafasi ya kumtuma mwakilishi na hata waziri anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki.

snakebite.jpg

Hayo hayakufanyika, maana yake Kikwete alitengwa kwa makusudi, na labda nchi hizo zimemwona Kikwete kama nyoka hatari mwenye sumu anayetambaa chini kwa chini na wameamua kujinusuru kwa kumkwepa, kumbe nyoka ni wao ambao ni:
images
images
images

Kagame ni black mamba😛eace:Kenyatta ni cobra😛eace:Museven ni pythons​

NB:
Majina haya ya aina ya nyoka hayamaanishi kuwatukana au kuwalinganisha, ila ni kuoanisha tabia za kile kinachoendelea katika sakata hili

Nchi hizi zimeingia kichwa kichwa na kumezwa na Kenya, itafika siku watarudi kinyumenyume, hii yaonekana ni ndoa ya mkeka kutokana na mengi ambayo yamewasukuma ghafla bila mipango ya muda mrefu ya pamoja.

  1. Rwanda na ndoa ya mkeka ya triple states union kwa kuwatongoza Kenya na Uganda kutumia kama adhabu ya kumchapa kiboko Kikwete kwa kauli yake dhidi ya dikteta Kagame.
  2. Museven kutokana na kutokuwa na msimamo imara kaingizwa mkenge kwa kuvishwa kilemba cha ukoka kama link man kwa manufaa ya Kenyata na Kagame.
  3. Kenya kujiona kama ndio wanaoongoza kwa uchumi ukanda huu, wanahofia tishio la nguvu ya kiuchumi inayokua Tanzania na hivyo kubuni mbinu za kupunguza nguvu hizo kwa mtindo wa divide and rule East African States.

images

Tanzania haitaathirika kwa umoja wao na pengine baadhi yao wakarudi kimyakimya kwa vile nafasi ni pana na nchi nyingi bado zina nafsi ya kutegemea uchumi wao kupitishia mizigo yao bandari ya Tanzania.
  • Tanzania ina utajiri mkubwa sana wa mali asili kuliko nchi nyingine za ukanda huu.
  • Tanzania ina kila la kujivunia hifadhi ya wanyamapori kuliko nchi nyingine katika ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee iliyozungukwa na mataifa nane (8) kuliko nchi nyingine ya yote katika ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee yenye idadi kubwa ya eneo la maji (bahari, maziwa na mito) kuliko nchi nyingine za ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee yenye eneo na ardhi kubwa kuliko nchi nyingine katika ukanda huu.
 
​

Kenya kujiona kama ndio wanaoongoza kwa uchumi ukanda huu, wanahofia tishio la nguvu ya kiuchumi inayokua Tanzania na hivyo kubuni mbinu za kupunguza nguvu hizo kwa mtindo wa divide and rule East African States.

Tanzania haitaathirika kwa umoja wao na pengine baadhi yao wakarudi kimyakimya kwa vile nafasi ni pana na nchi nyingi bado zina nafsi ya kutegemea uchumi wao kupitishia mizigo yao bandari ya Tanzania.
  • Tanzania ina utajiri mkubwa sana wa mali asili kuliko nchi nyingine za ukanda huu.
  • Tanzania ina kila la kujivunia hifadhi ya wanyamapori kuliko nchi nyingine katika ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee iliyozungukwa na mataifa nane (8) kuliko nchi nyingine ya yote katika ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee yenye idadi kubwa ya eneo la maji (bahari, maziwa na mito) kuliko nchi nyingine za ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee yenye eneo na ardhi kubwa kuliko nchi nyingine katika ukanda huu.

hizo resource hazina faida yoyote kwa Mtanzania wa mlo mmoja.

Kikwete is a joke. hakuna matu serioua atafanya kazi na Kikwete. Obama mwenyewe anakuja kwa sababu anajuwa the man is Mr. 'Ndiyo Mzee'
 
Naelewa hoja yako, lakini tunatakiwa kuwa na jicho pana, maana hizo resources zipo, ipo siku zitatupaisha. Tunatakiwa kujadili hilo kwa mtazamo wa kitaifa zaidi badala ya mtazamo wa itikadi za ndani ya nchi.

Hayo hayakufanyika, maana yake Kikwete alitengwa kwa makusudi, na labda nchi hizo zimemwona Kikwete kama nyoka hatari mwenye sumu anayetambaa chini kwa chini na wameamua kujinusuru kwa kumkwepa, kumbe nyoka ni wao ambao ni:
images
images
images

Kagame ni black mamba
peace.gif
Kenyatta ni cobra
peace.gif
Museven ni pythons

Hawa watu watatu tunatakiwa kuwa makini nao sana. Mbele ya Kikwete wanaonekana wako kitu kimoja na Kikwete akishageuka upande mwingine nyuma yake wananong'onezana yao na matokeo ndio yako hadharani tayari.
​
 
Pamoja na mambo mazuri uliyosema Tanzania haitafurukuta kwa mfumo wa ccm labda kuondoka kwa ccm kuta-pave way toward ecomic dominance in EA short of that is chines dominance to tanzania leaving citizens in a shamble
Correct - Ukitaka kuangalia hii kitu kibiashara bado kuna matatizo flani mi naweza kuyaita ni ya ndani - TZ kama nchi na watu wake mara kwa mara imekuwa na woga sana kuwa nchi za jirani zitafaidika - at the same time wapo wanaitwa wawekezaji kutoka nje, kaburus, chineese na wa nchi za mbali ambao wamekuwa wakija na kupewa maeneo hayo hayo tunayo protect from the so called jiranis - hii ni foolish
Pili, mimi naona pamoja na tofauti za kimaendeleo - bado TZ tuna uwezo mkubwa wa kushindana na majirani zetu kwa hivyo ingetakiwa sisi tuangalie opportunities na sio losses tu; Tatu - kwa mfumo wa sasa ambapo viongozi wengi - wa kuchaguliwa na wa kuteuliwa - asilimia kubwa wanafanya kazi zao wakiangalia maslahi ya chama - inakuwa vigumu sana kuweza kuona fursa zilizopo kwenye soko kubwa -
 
Naelewa hoja yako, lakini tunatakiwa kuwa na jicho pana, maana hizo resources zipo, ipo siku zitatupaisha. Tunatakiwa kujadili hilo kwa mtazamo wa kitaifa zaidi badala ya mtazamo wa itikadi za ndani ya nchi.

Kwani hizo resource zilizokuwepo zitadumu milele...si huisha! Na hii mikataba ya 'kijinga' tunayoingia, by the time wawekezaji wanaondoka na hizo resource zishaisha bila kutunufaisha! Yes tumebarikiwa resource kuliko wenzetu wa Afrika Mashariki...lakini pia tumebarikiwa ujinga kuliko wenzetu hao!
 
Ili uwe fair naomba ueleze ni sababu gani iliyomfanya Jomo Kenyatta awe muasisi wa kuvunjika EAC ya mwanzo.Kwaanini Kikwete hujamuona kama nyoka kwa upande wako ikiwa wao wamemuona kama nyoka mwenye sumu. matters should be expressed in a spirit of fair play
 
home01pix.jpg

Kumbukumbu
zinaonyesha Serikali ya CCM pamoja na CCM yenyewe ilishangilia sana
hatima ya Uchaguzi Mkuu kenya uliorejesha kiti cha Urais wa Mzee Jomo
Kenyatta kwa mtoto wake Kenyatta. Kikwete alienda mbali zaidi hadi
kukutana naye faragha huko Arusha. Wengi wetu ambao tunamitazamo ya
kiona mbali hatukuona cha pekee ambacho Kikwete na CCM wanachangamkia
Kenyatta kukalia kiti hicho, ni sawa na kurejesha zama za babake Jomo
Kenyatta.

32599_622822211079669_814212555_n.jpg

Aliyeisambaratisha
Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 1977 ni Jomo Kenyatta ambaye ni baba
yake. Leo mtoto wake baada ya kuingia madarakani tu hatua ya kwanza
anayoifanya ni kuanza na ufa mkubwa ambao umeshaachia mwanya ulio vigumu
kabisa kuuziba kwa sasa kwa vile walichoamua ni umoja wao ambao
umeitenga Tanzania. Ile minong'ono kwamba Kenya inakusudia kuuvunja
umoja wa Afrika Mashariki sasa yametimia. Majukumu ya umoja huo ya
pamoja, cha kushangaza kama Kikwete hakuwa na nafasi ya kuhudhuria
alikuwa na nafasi ya kumtuma mwakilishi na hata waziri anayeshughulikia
masuala ya Afrika Mashariki.

snakebite.jpg

Hayo
hayakufanyika, maana yake Kikwete alitengwa kwa makusudi, na labda nchi
hizo zimemwona Kikwete kama nyoka hatari mwenye sumu anayetambaa chini
kwa chini na wameamua kujinusuru kwa kumkwepa, kumbe nyoka ni wao ambao
ni:
Kagame ni black mamba,
Kenyatta ni
cobra, Museven ni pythons.
NB
Majina
haya ya aina ya nyoka hayamaanishi kuwatukana au kuwalinganisha, ila ni
kuoanisha tabia za kile kinachoendelea katika sakata hili.
​

Nchi hizi zimeingia kichwa kichwa na kumezwa na Kenya, itafika siku
watarudi kinyumenyume, hii yaonekana ni ndoa ya mkeka kutokana na mengi
ambayo yamewasukuma ghafla bila mipango ya muda mrefu ya
pamoja.

  1. Rwanda na ndoa ya mkeka ya
    triple states union kwa kuwatongoza Kenya na Uganda kutumia kama adhabu
    ya kumchapa kiboko Kikwete kwa kauli yake dhidi ya dikteta
    Kagame.
  2. Museven kutokana na kutokuwa na
    msimamo imara kaingizwa mkenge kwa kuvishwa kilemba cha ukoka kama link
    man kwa manufaa ya Kenyata na Kagame.
  3. Kenya kujiona kama ndio
    wanaoongoza kwa uchumi ukanda huu, wanahofia tishio la nguvu ya kiuchumi
    inayokua Tanzania na hivyo kubuni mbinu za kupunguza nguvu hizo kwa
    mtindo wa divide and rule East African States.

images

Tanzania
haitaathirika kwa umoja wao na pengine baadhi yao wakarudi kimyakimya
kwa vile nafasi ni pana na nchi nyingi bado zina nafsi ya kutegemea
uchumi wao kupitishia mizigo yao bandari ya Tanzania.

  • Tanzania ina utajiri mkubwa sana
    wa mali asili kuliko nchi nyingine za ukanda huu.
  • Tanzania ina kila la kujivunia
    hifadhi ya wanyamapori kuliko nchi nyingine katika ukanda
    huu.
  • Tanzania ni nchi pekee
    iliyozungukwa na mataifa nane (8) kuliko nchi nyingine ya yote katika
    ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee yenye
    idadi kubwa ya eneo la maji (bahari, maziwa na mito) kuliko nchi
    nyingine za ukanda huu
    .
  • Tanzania ni nchi pekee yenye eneo na ardhi
    kubwa kuliko nchi nyingine katika ukanda huu.

Wewe ni baba mwenye jukumu la kuwatuza watoto wako watano. Nyumbani mwako Mungu kakupa neema ya vyakula vya kila aina. Lkn wewe baba kila siku ni mlevi na kudhurura. Majirani zako lazima waje kukusaidia kulea watoto uku wakifaidika na vyakula vyako Mungu alivyokupa.
 
Pamoja na mambo mazuri uliyosema Tanzania haitafurukuta kwa mfumo wa ccm labda kuondoka kwa ccm kuta-pave way toward ecomic dominance in EA short of that is chines dominance to tanzania leaving citizens in a shamble

Kweli kuna watu na viatu! Kumchukia Rais wako wa nchi kwasababu zako binafsi haimanishi unaipenda Tanzania.Wanaume wamechangia vizuri tena kwakufafanua vizuri uwezo tulionao wewe unaleta mawazo ya chama chako badala ya nchi yako.Nilifurahishwa sana na mtoa mada ila bada yakufika kwa wachangiaji wa mwisho nikavurugika akili yangu.Men thinks of solution and not people as you.am worry if you really have brain.
 
Kwani hizo resource zilizokuwepo zitadumu milele...si huisha! Na hii mikataba ya 'kijinga' tunayoingia, by the time wawekezaji wanaondoka na hizo resource zishaisha bila kutunufaisha! Yes tumebarikiwa resource kuliko wenzetu wa Afrika Mashariki...lakini pia tumebarikiwa ujinga kuliko wenzetu hao!

Ujinga wa waTanzania ni wakujitakia kwani wanakubali kuongozwa na vifuu!!!
 
​

  • Tanzania ni nchi pekee iliyozungukwa na mataifa nane (8) kuliko nchi nyingine ya yote katika ukanda huu.

nami nina mtazamo kama wako. hata kama majirani zetu wametutenga lakini bado tunazo fursa za kufanya biashara na nchi nyingine zinazotuzunguka. hawa triple K wamewabagua watz. dhambi hii mbaya sana na inawatafuna tu, time wil tell. cha msingi ni kwamba tuache siasa, tukomae kivyetu
 
Ninachoshindwa kuelewa hapa ni chuki dhidi ya Kikwete inayopelekea yote haya au chuki dhidi ya Tanzania....
 
home01pix.jpg

Kumbukumbu zinaonyesha Serikali ya CCM pamoja na CCM yenyewe ilishangilia sana hatima ya Uchaguzi Mkuu kenya uliorejesha kiti cha Urais wa Mzee Jomo Kenyatta kwa mtoto wake Kenyatta. Kikwete alienda mbali zaidi hadi kukutana naye faragha huko Arusha. Wengi wetu ambao tunamitazamo ya kiona mbali hatukuona cha pekee ambacho Kikwete na CCM wanachangamkia Kenyatta kukalia kiti hicho, ni sawa na kurejesha zama za babake Jomo Kenyatta.
32599_622822211079669_814212555_n.jpg

Aliyeisambaratisha Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 1977 ni Jomo Kenyatta ambaye ni baba yake. Leo mtoto wake baada ya kuingia madarakani tu hatua ya kwanza anayoifanya ni kuanza na ufa mkubwa ambao umeshaachia mwanya ulio vigumu kabisa kuuziba kwa sasa kwa vile walichoamua ni umoja wao ambao umeitenga Tanzania. Ile minong'ono kwamba Kenya inakusudia kuuvunja umoja wa Afrika Mashariki sasa yametimia. Majukumu ya umoja huo ya pamoja, cha kushangaza kama Kikwete hakuwa na nafasi ya kuhudhuria alikuwa na nafasi ya kumtuma mwakilishi na hata waziri anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki.

snakebite.jpg

Hayo hayakufanyika, maana yake Kikwete alitengwa kwa makusudi, na labda nchi hizo zimemwona Kikwete kama nyoka hatari mwenye sumu anayetambaa chini kwa chini na wameamua kujinusuru kwa kumkwepa, kumbe nyoka ni wao ambao ni:
Kagame ni black mamba,
Kenyatta ni cobra, Museven ni pythons.
NB
Majina haya ya aina ya nyoka hayamaanishi kuwatukana au kuwalinganisha, ila ni kuoanisha tabia za kile kinachoendelea katika sakata hili. ​

Nchi hizi zimeingia kichwa kichwa na kumezwa na Kenya, itafika siku watarudi kinyumenyume, hii yaonekana ni ndoa ya mkeka kutokana na mengi ambayo yamewasukuma ghafla bila mipango ya muda mrefu ya pamoja.

  1. Rwanda na ndoa ya mkeka ya triple states union kwa kuwatongoza Kenya na Uganda kutumia kama adhabu ya kumchapa kiboko Kikwete kwa kauli yake dhidi ya dikteta Kagame.
  2. Museven kutokana na kutokuwa na msimamo imara kaingizwa mkenge kwa kuvishwa kilemba cha ukoka kama link man kwa manufaa ya Kenyata na Kagame.
  3. Kenya kujiona kama ndio wanaoongoza kwa uchumi ukanda huu, wanahofia tishio la nguvu ya kiuchumi inayokua Tanzania na hivyo kubuni mbinu za kupunguza nguvu hizo kwa mtindo wa divide and rule East African States.

images

Tanzania haitaathirika kwa umoja wao na pengine baadhi yao wakarudi kimyakimya kwa vile nafasi ni pana na nchi nyingi bado zina nafsi ya kutegemea uchumi wao kupitishia mizigo yao bandari ya Tanzania.
  • Tanzania ina utajiri mkubwa sana wa mali asili kuliko nchi nyingine za ukanda huu.
  • Tanzania ina kila la kujivunia hifadhi ya wanyamapori kuliko nchi nyingine katika ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee iliyozungukwa na mataifa nane (8) kuliko nchi nyingine ya yote katika ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee yenye idadi kubwa ya eneo la maji (bahari, maziwa na mito) kuliko nchi nyingine za ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee yenye eneo na ardhi kubwa kuliko nchi nyingine katika ukanda huu.

mkuu mi nimekuelewa vema ambaye hataki kukuelewa atabisha lakini ukweli atabaki nao moyoni mwake.
 
Tanzania ni nchi kubwa haiwezi kukubali kumezwa na vinchi vidogo.
 
Ninachoshindwa kuelewa hapa ni chuki dhidi ya Kikwete inayopelekea yote haya au chuki dhidi ya Tanzania....

mkuu hii si chuki ni wivu wa maendeleo kwa taifa letu ambao unakwenda kasi kwa sasa hasa baada ya gesi kugundulika.
 
Nakubaliana na mleta mada kuwa kuna resources za kutosha TZ, ila kwa mtazamo wangu resources hizo sijaona faida yake kwa manufaa ya nchi na wananchi kwa ujumla.
Kwa nilichokisikia juu ya mkutano wa viongozi wa Kenya, Uganda na Rwanda, binafsi sioni sababu ya baadhi ya watanzania kuwashwa kiasi hiki; hata maisha ya kawaida tu huwezi kuendesha maisha yako kwa style ya kumfurahisha jirani au mtu mwingine anaekuangalia. Huo ni uamuzi wao kwa mustakabali wa nchi zao na vizazi vyao, hata kama majirani na marafiki watanuna lakini msingi ni kusimamia wanalo ona ni sahihi na lina faida kwao.
Kwa upande wa Tanzania na rasilimali zilizopo naimani nchi ingekuwa imeshapiga hatua kubwa sana ukilinganisha na nchi nyingi sana za Afrika. Ila kwa style ya mikataba inayohusisha rasilimali zilizopo, nadhani hiyo ndoto ya neema inayoimbwa na baadhi yetu itaendelea kuwa kwenye takwimu za makaratasi tu na si kwa uhalisia wa kuonekana.

As for me; BIG UP triple K's. Endeleeni kufikiri kwa vizazi vyenu na si kusikiliza makelele ya majirani.
 
KWANI TATIZO NINI WACHE WAUNGANE NA SIS TUTAFUTE WASHIRIKA WENGINE TUNA KILA KITU,MALAISILI ZIPO ZA KUTOSHA
home01pix.jpg

Kumbukumbu zinaonyesha Serikali ya CCM pamoja na CCM yenyewe ilishangilia sana hatima ya Uchaguzi Mkuu kenya uliorejesha kiti cha Urais wa Mzee Jomo Kenyatta kwa mtoto wake Kenyatta. Kikwete alienda mbali zaidi hadi kukutana naye faragha huko Arusha. Wengi wetu ambao tunamitazamo ya kiona mbali hatukuona cha pekee ambacho Kikwete na CCM wanachangamkia Kenyatta kukalia kiti hicho, ni sawa na kurejesha zama za babake Jomo Kenyatta.
32599_622822211079669_814212555_n.jpg

Aliyeisambaratisha Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 1977 ni Jomo Kenyatta ambaye ni baba yake. Leo mtoto wake baada ya kuingia madarakani tu hatua ya kwanza anayoifanya ni kuanza na ufa mkubwa ambao umeshaachia mwanya ulio vigumu kabisa kuuziba kwa sasa kwa vile walichoamua ni umoja wao ambao umeitenga Tanzania. Ile minong'ono kwamba Kenya inakusudia kuuvunja umoja wa Afrika Mashariki sasa yametimia. Majukumu ya umoja huo ya pamoja, cha kushangaza kama Kikwete hakuwa na nafasi ya kuhudhuria alikuwa na nafasi ya kumtuma mwakilishi na hata waziri anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki.

snakebite.jpg

Hayo hayakufanyika, maana yake Kikwete alitengwa kwa makusudi, na labda nchi hizo zimemwona Kikwete kama nyoka hatari mwenye sumu anayetambaa chini kwa chini na wameamua kujinusuru kwa kumkwepa, kumbe nyoka ni wao ambao ni:
Kagame ni black mamba,
Kenyatta ni cobra, Museven ni pythons.
NB
Majina haya ya aina ya nyoka hayamaanishi kuwatukana au kuwalinganisha, ila ni kuoanisha tabia za kile kinachoendelea katika sakata hili. ​

Nchi hizi zimeingia kichwa kichwa na kumezwa na Kenya, itafika siku watarudi kinyumenyume, hii yaonekana ni ndoa ya mkeka kutokana na mengi ambayo yamewasukuma ghafla bila mipango ya muda mrefu ya pamoja.

  1. Rwanda na ndoa ya mkeka ya triple states union kwa kuwatongoza Kenya na Uganda kutumia kama adhabu ya kumchapa kiboko Kikwete kwa kauli yake dhidi ya dikteta Kagame.
  2. Museven kutokana na kutokuwa na msimamo imara kaingizwa mkenge kwa kuvishwa kilemba cha ukoka kama link man kwa manufaa ya Kenyata na Kagame.
  3. Kenya kujiona kama ndio wanaoongoza kwa uchumi ukanda huu, wanahofia tishio la nguvu ya kiuchumi inayokua Tanzania na hivyo kubuni mbinu za kupunguza nguvu hizo kwa mtindo wa divide and rule East African States.

images

Tanzania haitaathirika kwa umoja wao na pengine baadhi yao wakarudi kimyakimya kwa vile nafasi ni pana na nchi nyingi bado zina nafsi ya kutegemea uchumi wao kupitishia mizigo yao bandari ya Tanzania.
  • Tanzania ina utajiri mkubwa sana wa mali asili kuliko nchi nyingine za ukanda huu.
  • Tanzania ina kila la kujivunia hifadhi ya wanyamapori kuliko nchi nyingine katika ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee iliyozungukwa na mataifa nane (8) kuliko nchi nyingine ya yote katika ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee yenye idadi kubwa ya eneo la maji (bahari, maziwa na mito) kuliko nchi nyingine za ukanda huu.
  • Tanzania ni nchi pekee yenye eneo na ardhi kubwa kuliko nchi nyingine katika ukanda huu.
[/QUOTE]
 
hizo resource hazina faida yoyote kwa Mtanzania wa mlo mmoja.

Kikwete is a joke. hakuna matu serioua atafanya kazi na Kikwete. Obama mwenyewe anakuja kwa sababu anajuwa the man is Mr. 'Ndiyo Mzee'

Mleta mada sijui lengo lake nini hasa? Nani alikwambia kwamba nia ya kikao chao ilikuwa ni kuvunja muungano wa Africa Mashariki? Hilo wewe umelipata wapi? Hiyo ni business lobbying anayofanya Uhuru kwa kuwashawishi Museveni na Kagame watumie bandari ya Mombasa badala ya Dar Es Salaam. Sasa suala la kuvunja jumuia ya Africa mashariki linatoka wapi hapa? Halafu sidhani kama ni sahihi kwamba Mzee Kenyatta ndiye aliyesababisha jumuia ya Afrika Mashariki ya wakati ule ivunjike. Kikwazo kikubwa alikuwa ni Mwl. Nyerere aliyekataa kumtambua Iddi Amin kama Rais wa Uganda hivyo alikuwa hwezi kukaa naye meza moja na kujadiliwa masuala muhimu ya jumuia. Hapa mleta mada inabidi ukafanye homework yako sawasawa na kuutafuta ukweli.
 
Naelewa hoja yako, lakini tunatakiwa kuwa na jicho pana, maana hizo resources zipo, ipo siku zitatupaisha. Tunatakiwa kujadili hilo kwa mtazamo wa kitaifa zaidi badala ya mtazamo wa itikadi za ndani ya nchi.
Mkuu ni lazima tuliangalie kwa angle zote. Huwezi kuundermine umuhimu wa ujirani mwema, hata kama jirani yako ni masikini. Ujirani mwema uliimarika sana enzi za Mkapa. Inasikitisha kuona tunalea viugomvi vya kijinga na majirani sasa. Malawi, Rwanda na sasa Ushindani wa Kenya na Uganda ukichukua sura ya kiadui. Sio jambo zuri. Tumepeleka majeshi Congo very equivocally, tumeshindwa kutafuta muafaka na Malawi. Hakuna uhakika wa uhusiano mzuri na Satta wa Zambia. Lazima tujiangalie sisi tuna tatizo gani? Hivi ni kweli tunawahitaji Amerika na China kuliko tunavyowahitaji Rwanda na Uganda?!!! Kwangu mi ni no...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom