View attachment 44126
Naomba tujikumbushe hii habari ya mpango wa Siri wa Mzee Kenyata kutaka kuwahamishia Wakikuyu nchini Tanzania kama jibu la kutatua tatizo la ardhi nchini Kenya. Hii ilitoka kwenye gazeti la Business Daily la Kenya la tarehe 9 November 2009.
Wakati viongozi wetu wakizidi kusonga mbele na EAC yao; tuwe makini na hila za Wakenya....mpango huu wa mwaka 1963 ullikuwa uwawezeshe Wakikuyu kuhamia Mpanda huko Mkoani Katavi....kazi kwenu kina Sitta.
Seeds of Discord: the secrets of kenya's land settlements

wengine kama joseph mungai waliwahi kuwa hata mawaziri hapa nchini.
Wakikuyu wapo kibao maeneo ya Sumbawanga na Mbeya.
Kuna mtu hapa kasema wakikuyu wana relate na Wasonjo. Naomba atuanzishie thread maalum juu ya hilo kwani ni vizuri kujifunza zaidi.
Si hila ya Wakenya kama unavyodai, bali Wakikuyu wakija Tanzania watakuwa wanarejea nyumbani kwao huko Sonjo/Batemim hivo wakaribisheni wenzenu. Soma historia kwa makini kwa maelezo zaidi ......... Unaweza pia kupata maelezo zaidi hapa Jumuiya ya Afrika Mashariki inatoa fursa kwa wote, 'Watanzania' wanakaribishwa kunuanua ardhi popote pale Kenya, muhimu ni kubadilishana uzoefu. Jameni tuacheni hizi chuki za utaifa usio na maana. Kenya ina uchumi mkubwa zaidi Afrika Mashariki, ardhi yake ndogo, haina madini, gesi wala mafuta. Kuwa na Ardhi kubwa si hoja, tizama Rwanda sasa, wapeni Wanyarwanda miaka 30 na watakuwa wamezipita kwa mbali nchi zote Afrika Mashariki. DRC Congo ina ardhi yenye upana wa Ulaya Magharibi lakini angalia iliko hivi sasa. Its not quantity that matters its quantity.
Si hila ya Wakenya kama unavyodai, bali Wakikuyu wakija Tanzania watakuwa wanarejea nyumbani kwao huko Sonjo/Batemim hivo wakaribisheni wenzenu. Soma historia kwa makini kwa maelezo zaidi ......... Unaweza pia kupata maelezo zaidi hapa Jumuiya ya Afrika Mashariki inatoa fursa kwa wote, 'Watanzania' wanakaribishwa kunuanua ardhi popote pale Kenya, muhimu ni kubadilishana uzoefu. Jameni tuacheni hizi chuki za utaifa usio na maana. Kenya ina uchumi mkubwa zaidi Afrika Mashariki, ardhi yake ndogo, haina madini, gesi wala mafuta. Kuwa na Ardhi kubwa si hoja, tizama Rwanda sasa, wapeni Wanyarwanda miaka 30 na watakuwa wamezipita kwa mbali nchi zote Afrika Mashariki. DRC Congo ina ardhi yenye upana wa Ulaya Magharibi lakini angalia iliko hivi sasa. Its not quantity that matters its quality.
It is imperative to get our facts straight, under new Kenya's constitution foreigners, including Tanzanians, are not allowed to own land.
Si hila ya Wakenya kama unavyodai, bali Wakikuyu wakija Tanzania watakuwa wanarejea nyumbani kwao huko Sonjo/Batemim hivo wakaribisheni wenzenu. Soma historia kwa makini kwa maelezo zaidi ......... Unaweza pia kupata maelezo zaidi hapa Jumuiya ya Afrika Mashariki inatoa fursa kwa wote, 'Watanzania' wanakaribishwa kunuanua ardhi popote pale Kenya, muhimu ni kubadilishana uzoefu. Jameni tuacheni hizi chuki za utaifa usio na maana. Kenya ina uchumi mkubwa zaidi Afrika Mashariki, ardhi yake ndogo, haina madini, gesi wala mafuta. Kuwa na Ardhi kubwa si hoja, tizama Rwanda sasa, wapeni Wanyarwanda miaka 30 na watakuwa wamezipita kwa mbali nchi zote Afrika Mashariki. DRC Congo ina ardhi yenye upana wa Ulaya Magharibi lakini angalia iliko hivi sasa. Its not quantity that matters its quantity.
View attachment 44126
Naomba tujikumbushe hii habari ya mpango wa Siri wa Mzee Kenyata kutaka kuwahamishia Wakikuyu nchini Tanzania kama jibu la kutatua tatizo la ardhi nchini Kenya. Hii ilitoka kwenye gazeti la Business Daily la Kenya la tarehe 9 November 2009.
Wakati viongozi wetu wakizidi kusonga mbele na EAC yao; tuwe makini na hila za Wakenya....mpango huu wa mwaka 1963 ullikuwa uwawezeshe Wakikuyu kuhamia Mpanda huko Mkoani Katavi....kazi kwenu kina Sitta.
Seeds of Discord: the secrets of kenya's land settlements
Si hila ya Wakenya kama unavyodai, bali Wakikuyu wakija Tanzania watakuwa wanarejea nyumbani kwao huko Sonjo/Batemim hivo wakaribisheni wenzenu. Soma historia kwa makini kwa maelezo zaidi ......... Unaweza pia kupata maelezo zaidi hapa Jumuiya ya Afrika Mashariki inatoa fursa kwa wote, 'Watanzania' wanakaribishwa kunuanua ardhi popote pale Kenya, muhimu ni kubadilishana uzoefu. Jameni tuacheni hizi chuki za utaifa usio na maana. Kenya ina uchumi mkubwa zaidi Afrika Mashariki, ardhi yake ndogo, haina madini, gesi wala mafuta. Kuwa na Ardhi kubwa si hoja, tizama Rwanda sasa, wapeni Wanyarwanda miaka 30 na watakuwa wamezipita kwa mbali nchi zote Afrika Mashariki. DRC Congo ina ardhi yenye upana wa Ulaya Magharibi lakini angalia iliko hivi sasa. Its not quantity that matters its quantity.
The East African Bweweries company is mainly Kenyan and owns a lot of assets including vast tracts of land in Kenya. The company sells its shares on the Dar es salaam stock exchange. My question is, if I own this company's stock am I not also an owner of the company's assets including the land it owns in Kenya?
Siri kuu ambayo imefanya nchi ya Kenya kustawi kisiasa na hata kiuchumi, ingawa misukosuko na mivutano ya kijamii inatishia kuivunja, ni kuishi watu mseto kutoka mataifa mbalimbali. Tangu tuwe huru, Kenya ina watu wa mataifa mengi ambao waliingia kuishi nchini hata kabla ya Kenya kupata uhuru wake. Na hata baada ya kupata uhuru, bado watu waliendela kuja nchini kuishi. Hii ndio changio kubwa imefanya Kenya kustawi kiuchumi na wakati mwingine kijamii. Kwa hivyo mseto katika jamii ni kiungo kinachohitajika kundelea kiuchumi, ikiwa Tanzania wanataka kufikia maono yao ya maendeleo.
Punguza porojo za EAC federation's free land policy, :tongue:
Kwanza, Kenya bado haijastawi kisiasa wala kiuchumi, infact uchumi wa Kenya na wa Tanzania hautofautiani sana (angalia percentage ya Electricity connections Kenya 16% vs. Tanzania 14%) hizi bado ni nchi maskini katika dunia ya tatu (3).:tongue:
Pili, kwani kati ya Tanzania na Kenya ni wapi kuna mchanganyiko mkubwa wa mataifa na makabila mengi? FYI, Kenya kuna makabila 40 wakati Tanzania kuna makabila zaidi ya 120. Pia, tunao raia wengi tu wa Tanzania wanye asili ya kinya-Rwanda, ki-Rundi, ki-Congo, ki-Somali, ki-Hindi, ki-Arabu, kizungu, ki-Shirazi/Persian, kingazija, ki-China etc, etc....
Tembea uone...