...hana lolote huyo, hayo ni maneno ya kutapatapa na kuficha mpango wao na wenzake, yeye analetaje maendeleo ya East Africa kwa kuwa ndumilakuwili?, tatizo anakurupuka wakati nchi yake bado itahitaji kutetewa na jumuiya siku za usoni maana mpaka sasa mwelekeo wake tunaujua, Kenya haina safari ndefu kisiasa na kimaisha ya wananchi, kuibeza Tanzania ni sawa na kuzidi kufupisha maisha ya nchi yao ambayo itaanguka ghafla. huo ni uchambuzi mdogo tu wa hili jambo niaonavyo mimi. maana kuna moto unaoendelea kuwaka chini chini na wananchi wa kenya bado wana dukuduku ambalo siku likilipuka...
....bila kuficha hata hii kitu Tz ipo, ila kwa wakenya wanabomoa mpaka nguzo za kuegamia nikimaanisha migogoro wanayoipanda sasa siku ikija kuiva au kukomaana itahitaji mataifa ya nje kuingilia kati, moja wapo ikiwa ni Tanzania ambayo ndo itakuwa nchi yenye ujirani wa kweli na kenya maana zinaingiliana mambo mengi kuliko hata Rwanda, Sudan na e.t.c