Kenyatta akwepa kuhudhuria mkutano wa 18 wa viongozi wakuu wa nchi za Afrika Mashariki!

Mwacheni Kenyatta afanye mambo mengine kwani ilikuwa lazima kwenda mbona as mama Samoa Mara zote anakwenda ughaibuni kumwakilisha mzee wetu Wa kijiji au mmesahau?
Huu ni mkutano wa WAKUU wa nchi za Afrika Mashariki.
Sijui kama una habari kiongozi MPYA wa AU AMEPIGA MARUFUKU marais wa UMOJA wa nchi za Kiafrika KUWAKILISHWA na watu WENGINE kando ya MARAIS?
 
Nionavyo, amewadharau waliokuwepo. Kwanini? economically motivated OBOR, G7 invited & middle income . What else ? Arrogance ya Kikuyu?
 
Wana JF si kawaida marais kukosa kukutana hasa katika mikutano muhimu ya viongozi wa nchi za Afrika Mashariki.

Lakini jambo la kushangaza rais wa Kenya Uhuru Kenyatta AMEKWEPA kuhudhuria mkutano huu wa 18 wa HEADS of STATES ambao utafanyika hapa kwetu Tanzania na badala yake amemtuma Makamu wake wa rais. Mh William Ruto.

Kwa mtu wa kawaida atasema "Kwani kuna ubaya gani kama ana DHARURA?"
Ukweli ni kwamba hili SUSIO la MAKSUDI.
Waingereza wanasema "Giving it a wide berth/ KUJIWEKA MBALI."
Sikatai huenda wameongea kwenye simu na rais Magufuli na kutoa UDHURU wake. Lakini hata ni hivyo naamini hivyo ni visingizio vyake tu.

Diplomatic PUNDITS/wachambuaji wa mambo ya Kidiplomasia wanaweza kujua zaidi WHY NOW?
Naamini kuwa KUNA SABABU isiyompendeza kutoka kwetu Tanzania.

Ikizingatiwa huu ungekuwa ni mkutano wake wa mwisho kabla ya uchaguzi , hivyo ilikuwa ni FURSA NZURI sana ya kuomba KUUNGWA MKONO na MARAIS WENZAKE ili achaguliwe tena mara nyingine.
Ila sasa amewakwepa na Kutuma MSAIDIZI wake.

Hii ni kama ANATUTUMIA UJUMBE fulani ambao ni lazima TUUTAFSIRI haraka tuuelewe na tufanye kinachohitajika.

KUTOHUDHURIA huku kunaonyesha kuudhika kwake kwa namna moja ama nyingine Maana mikutano kama hii huwa hakosagi!

SWALI :Nini hasa ambacho huenda tumemuudhi hadi kutohudhuria mkutano MUHIMU kama huu?
Na je ni namna gani tunawez KUPOZA DHANA zake KIDIPLOMASIA bila ATHARI/Negative effects on our relationship na jirani zetu?
Dumb speculations,,,ni marais wangapi wa jumuiya hii hawakuhudhuria huu mkutano, au ni Uhuru peke ake!!?? Kama sio mbona hao wengine huwasemi,unazijua ajenda za huo mkutano

Dumbe speculations,,mbona Paul Kagame na Pierre Nkuruzinza pia hawakuhudhuria wao pia unataka kuleta story ipi,,kwanini kutohudhuria Uhuru Kenyata iwe ni story. Mwisho wa siku ajenda za mkutano ndo zinaamua kama ni lazima wakuu wa nchi wenyewe wakutane au la,,ajenda zingine wanaweza kuhudhuria wawakilishi na haina shida. Kutohudhuria Rais Kenyata its just a normal circumstance
 
Kenyatta hahitaji kuungwa mkono na marais wenzake kwa kuwa hawapigi kura
Kwa presha aliokuwa nayo ni bora tu alivyobaki.
Kama akili yako inafanya kazi vizuri utakuwa umemuelewa mzee wa figisu fiigisu Lowassa,alipomuonya Kenyatta kwa kumuambia asilale,wapinzani wakiungana wanakuwa wabaya sana!
 
Ninakuelewa mkuu Ila huyu Odinga ninamashaka kama atafanikiwa kumshinda Kenyatta.
 
Dumb speculations,,,ni marais wangapi wa jumuiya hii hawakuhudhuria huu mkutano, au ni Uhuru peke ake!!?? Kama sio mbona hao wengine huwasemi,unazijua ajenda za huo mkutano

Dumbe speculations,,mbona Paul Kagame na Pierre Nkuruzinza pia hawakuhudhuria wao pia unataka kuleta story ipi,,kwanini kutohudhuria Uhuru Kenyata iwe ni story. Mwisho wa siku ajenda za mkutano ndo zinaamua kama ni lazima wakuu wa nchi wenyewe wakutane au la,,ajenda zingine wanaweza kuhudhuria wawakilishi na haina shida. Kutohudhuria Rais Kenyata its just a normal circumstance
Point taken.
However weshould ask ourselves a BIG WHY?.
I could divulge more on this and what precipitated the meeting being given a wide berth on which YOU are not PRIVY to.
Acha nijinyamazie.
Asiyejua maana HAAMBIWI maana!
Ahsante kwa mchango wako mzuri.
 
Ni kweli. Ila kwa hili kuna zaidi ya KAWAIDA. Maana angependa aungwe mkono na wenzake katika uchaguzi wao huko. Ama unaonaje kwa hili mkuu.
Mkuu naomba UKUMBUKE moja ya SABABU za huyu jamaa kutokuja.
1.Asingeweza ku stomach/KUSHUHUDIA mbele yake kutiwa SAINI kwa MKATABA wa Tanzania na Uganda kuhusu BOMBA la MAFUTA Wakati nchi hizi mbili ZILIMNYIMA.

2.Uganda IMETISHIA kuwa ITAJITOA katika mkataba wa pamoja wa UJENZI wa RELI ya SGR na badala yake KUUNGANA na SGR ya TANZANIA.

Maana makubaliano ya AWALI yalikuwa RELI hiyo Wakenya WAIFIKISHE hadi mji wa MALABA ulio mpakani mwa Uganda na Kenya. Wakenya nao wamesema WATAISHIA KISUMU tu.
Hizo mkuu yaweza kuwa ni BAADHI ya sababu kukwepa kwake.Maana ni lazima alijua mapema .(......... ) Ni nini kitafanyika wakiwa TZ
 
Mbona hata jk kuna wakati hakuhudhulia akamtuma sitta, hata anko magu naye kuna wakati hakudhuria akatuna mwakilishi,uwe unakumbuka, ni kitu cha kawaida
Jephta2003,
1.INAWEZEKANA sana alijua mapema kutakuwa na KUTIA SAINI mkataba wa BOMBA la MAFUTA kati ya Tanzania na Uganda.a,balo Tanzania walisepa nalo.
2.Sijui kama unajua Uganda imeiambia Kenya HUENDA ITAUNGANISHA ujenzi wa RELI ya SGR na Tanzania na hivyo KUVUNJA makubaliano ya awali kati ya nchi hizo mbili ya kuwa na SGR mpaka mji wa Malaba.
Ambao Kenya wamekataa na kusema wataishia Mji wa Kisumu. Na hivyo Museveni kusema Basi SGR yangu ITAENDA TANZANIA. Miongoni mwa sababu zingine. Nakubaliana nawe wakati mwingine SI LAZIMA lakini hii ya sasa inaacha MASWALI mengi kuliko majibu.
Siku hizi maslahi ya kila nchi ni UCHUMI.
 
Waba jf,
Kwenye kikao cha mkutano wa jumuiya ya Afrika Mashariki kilichofanyika juzijuzi jijini Dar, tuliona ni maraisi wawili tu ndio waliohudhuria, yaani Magufuli (of course huyu lazima awepo kwa sababu ndie mwenyeji) na Museveni wa Uganda(na huyu nae ilibidi lazima awepo kwa sababu ndie aliyekuwa anakabidhiwa uenyekiti).
Marais wengine wa Kenya - Kenyatta, Rwanda - Kagame, Burundi - Nkurubzinza na hata yule wa South Sudan - Salva Kiir hawakuhudhuria. Japo ni kawaida kwa Rais wa nchi yoyote kutuma mwakilishi kumuwakilisha kwenye shughili yoyote, hii itategemea umuhimu wa shughuli yenyewe ama awe ameshindwa kuhudhuria kwa sababu ya dharura iliyotokea nchini mwake.
Sasa hawa wenzetu wametuma wawakilishi na hakujaripotiwa dharura zozote zilizotokea nchini mwao, sasa najiuliza hapa hawa jamaa walimsusia JPM? Maana Kama si Museveni kuja kwa ajili ya kukabidhiwa uenyekiti kuna uwezekano angejikuta yupo Rais peke yake pamoja na wawakilishi wa marais.
Hapa kuna tatizo si bure, kwa Kenya tunajua uhusiano wa JPM na Kenyatta si mzuri sana kwa sababu ya mahusiano ya JPM na Odinga, lakini naona hapa agenda hii inasambaa kwenye nchi nyingine.
Kumbukeni kuwa na lazima muweke akilini kuwa marais wanaokuwa madarakani huwa wanasuppotiana linapokuja suala la uchaguzi, hata siku moja Museveni hawezi msupport mpinzani wa Kagame au wa Nkurunziza - hizi ndio siasa zetu. Akitokea mmoja kumsupport mpinzani waziwazi kama Magufuli kwa Odinga, basi lazima wamuangalie kwa jicho la wasiwasi Sana. Naona umoja huu wa EAC, upo mashakani na hauko thabiti kama viongozi wenyewe hawaaminiani.
 
Back
Top Bottom